mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuhonga mwisho 10k

    Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala. Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.
  2. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mwisho missed call Tatu halafu Ondoa dhana Mbaya

    Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya...
  3. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa hivi ataachaje kuhonga ili naye apate raha?

    Mughonile! Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri. Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti, Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

    Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma. Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
  5. P

    JamiiForums Tanzania Bomu liko katika hatua za mwisho lilipuke, Ila Serikali inao uwezo mkubwa wa kulitegua ili lisilipuke

    Tangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM Mitandaoni kote hakujawahi kutulia, nilidhani labda kwa kuwa nchi yetu haijawahi kukumbwa na kadhia hiyo ya Rais kufa akiwa madarakani, ndiyo maana kila mtu anajaribu kuongea lakwake, na kifo chake, wengi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wamebana mwisho wamesalimu amri wote! Ni askari wa kinazi wa ukraine waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda chuma pale Azovstal-Mariupol.

    Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008

    Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne. Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

    Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
  12. ragin

    JamiiForums Tanzania Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

    mimi 111😂😂😂
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, Mwisho utakapofika nitakuwa na chakuonyesha? Nisije kujikuta mchawi!

    JE MWISHO UTAKAPOFIKA NITAKUWA NA CHAKUONYESHA? NISIJEGEUKA MCHAWI! Anaandika Robert Heriel. Hapo nilipomtembelea Babu yangu, Yule aliyenifundisha mambo mengi ya zamani na ya milele, ya Raha naya taabu! Ya gizani naya Nuruni, yote aliyojaliwa na Mungu kunifunza. Nikamtembelea siku zile...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

    Uzi huu tusaidiane kutambua last moments za wapendwa wetu huwa zinakuwaje au watu tunaowafahamu. Hususan pale anapokata roho. Nitaelezea kiss kimoja nilichoshuhudia. Nilikuwa namuuguza ndugu yangu hospitali moja ya mkoa enzi hizo tunalala na wagonjwa mahospitalini. Kitanda opposite na mimi...
  16. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  17. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

    Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi. Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa...
  19. Gan star

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

    Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders! Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
Back
Top Bottom