mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge - Nishati: Mgawo wa Umeme mwisho Aprili 2024

    Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere. Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

    Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi. Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba...
  3. JamiiForums Tanzania Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF. Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
  5. JamiiForums Tanzania Kitu alichofanya Yesu ambacho watumishi wa siku za mwisho wanakiogopa

    Kuulizwa maswali. Yesu alikuwa haogopi kuulizwa maswali. Hata kama ni ya kijinga atatafuta namna ya kukujibu ili uache huo ujinga. Watu wengi wanaelewa kwa njia ya maswali. Nimeona wengi wanapenda kuongea mambo yao ila hawana ujasiri wa kuwaacha wanaowasikiliza wahoji na kuuliza maswali ili...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Barabara ya Madale Mwisho-Mbopo-Mabwepande ni mbaya sana

    Habari! Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande. Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
  9. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

    Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂 Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ipo katika Hatua ya mwisho wa kuukubali ushoga

    Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki. Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho

    Kwa nini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho, labda wapo wanaoendeleza ila mimi nikifumania ndio mwisho wa safari yetu, ila wanauke wanakuwa ving'ang'anizi? Kwa nini?
  12. JamiiForums Tanzania Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

    Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko. Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita. Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Neymar aumia goti, inawezekana akawa nje hadi mwisho wa msimu huu

    Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji. Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  15. JamiiForums Tanzania Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  16. JamiiForums Tanzania Je, mwanzo wa mwisho wa Marekani umewadia?

    Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii. Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
  17. JamiiForums Tanzania Usikimbizane na 'mafanikio' maana hautayakamata utabaki tu kuyafuata. Mzunguko wa maisha hurudi mwanzo wake bila mwisho

    Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo. Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano; Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
  18. JamiiForums Tanzania Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  19. JamiiForums Tanzania Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  20. JamiiForums Tanzania Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…