Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,195
2,758
Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu.

Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu.

Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira na kutinga mabeki halafu umbakishe bocco kweli!
 
Bocco ni mchezaji wa nje?
 
Back
Top Bottom