Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,455
- 21,167
Miaka ya hivi karibuni naona kuna mafuriko ya division one mpaka zimekosa thamani yake.
Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja.
Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi;
A ianzie 81 kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na isiwe hii 75
Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja.
Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi;
- Division one inapaswa iwe kuanzia one ya 7 mpaka 13. Inamaana kuwa ili mtu uhesabike umepata division one angalau uwe na A moja na B sita . Ukipata B flat (points 14) uhesabike una division two.
- Division two ianzie 14 mpaka 19 . Inamaana ili uhesabike umepata division two basi angalau upate B mbili na C tano . Points 20 uhesabike kama division 3.
- Division 4 ianzie points 25 mpaka 28 . Hii inamaana ili uhesabike una division 4 na upewe cheti basi angalau uwe na flat D .Ukiwa na points 29 na kuendelea uhesabike umepata Zero.
A ianzie 81 kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na isiwe hii 75