mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hawa watu Mbezi Mwisho wanatumia kivuli cha Bahati Nasibu kuwaibia watu

    Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar. Karibu na Daraja la kuelekea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madeama ni kama timu ya Mashujaa ya Kigoma: Hamasa kubwa, kujituma kwingi, mwisho wa siku kubaki karibu mkiani

    Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!! Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

    Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi. Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
  5. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

    Habari wanajamvi? Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF. Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo Mimi naanza hapa👇 DR Mambo Jambo Huyu mkuu namuheshimu sana kwa mabandiko yake ya DINI, ananifundisha vitu vingi sana...
  6. Jugado

    JamiiForums Tanzania Nizingatie nini msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka?

    Utangulizi Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huwa na heka heka nyingi na watu hupendelea kufurahia kula na kusherekea walichopanda Kwa mwaka mzima. Hata hivyo Kwa kua ni msimu wenye matukio sio kidogo Kwa sababu ya asili ya shunguli nyingi ni vyema kuzingatia mambo kadhaa. Mambo ya jumla na...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania END OF TIMES: Uzi spesheli wa viashiria vya siku za mwisho

  8. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

    Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo, 4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli, 5. Kuombewa lift...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  10. Ri ri

    JamiiForums Tanzania Pata huduma bora ya usafi Mwisho wa mwaka

    Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Ninajivunia kutoa; Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako. Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea huduma ya usafi bila usumbufu. Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
  11. Msolo

    JamiiForums Tanzania Dalili Siku Za Mwisho

    Happy Sunday wana JF. ‭‭2 Timotheo‬ ‭3:1‭-‬7‬ ‭SUV‬‬ [1] Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. [2] Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani...
  12. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  14. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi mwisho wa siku masikini wataishi wapi?

    Eneo lolote likianza kuwa na maendeleo masikini hatakiwi kuonekana! Sheria hutungwa na vigezo huwekwa kumlazimisha masikini akimbie! Mfano jinsi miji inavyokuwa kuna nyumba zinawekewa sheria ya kwamba ukitaka kuikarabati lazima uombe kibali na watakuambia mtaa huu kama unatakakujenga, jenga...
  15. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya miaka 20 sasa somo la Hisabati linakuwa la mwisho katika ufaulu shule za msingi na sekondari. Nani alaumiwe?

    Habari! Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu. Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha. Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi? Setikali imeshindwa...
  17. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM. Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge - Nishati: Mgawo wa Umeme mwisho Aprili 2024

    Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere. Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

    Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi. Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

    Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote. Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu. Hapa...
Back
Top Bottom