Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.

Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi bado wakaenda kwa Mangungu ila uzuri kwa Mangungu walikwaa kisiki, kwenda mbaki zaidi bado wakalia na refa Aragija.,

Simba kama hawataki kufungwa au kutoa droo ni vyema wakahamia ligi ya South Sudan wakakutane na Zalan au ligi ya Somalia, Nlitaka kusema ligi ya Zanzibar nikakumbuka kule kuna Mlandege na mambo ya Akandawana kule.

Kubwa zaidi leo wamekuja na kali kwa kutishia kumsomea Albadiri refa wa mchezo wa leo Ramadhan Kayoko hakika kuna mambo yapo kwenye mpira wa Tanzania tu huwezi kuyakuta popote pale Ulimwenguni hata kule kwenye visiwa vya greenland.

Gemu ijayo na Geita Gold wakipoteza au kutoa droo sijui nani ataangukiwa na Jumba bovu je ni Benchinka au Matola lets wait and see.

Simba chezeni mpira wacheni longolongo.
 
IMG_8491.jpg
 
Simba kufungwa na azam ni matokeo ya mchezo lakini refa anapokosea lazima tulalamike maana anaigharimu timu,mbona hii ni kitu cha wazi au kuelewa hadi ushikwe mat.a.ko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa mashabiki wa Simba bana matusi yenu,albadiri yenu mpo kundi gani nyie
 
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.

Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi bado wakaenda kwa Mangungu ila uzuri kwa Mangungu walikwaa kisiki, kwenda mbaki zaidi bado wakalia na refa Aragija.,

Simba kama hawataki kufungwa au kutoa droo ni vyema wakahamia ligi ya South Sudan wakakutane na Zalan au ligi ya Somalia, Nlitaka kusema ligi ya Zanzibar nikakumbuka kule kuna Mlandege na mambo ya Akandawana kule.

Kubwa zaidi leo wamekuja na kali kwa kutishia kumsomea Albadiri refa wa mchezo wa leo Ramadhan Kayoko hakika kuna mambo yapo kwenye mpira wa Tanzania tu huwezi kuyakuta popote pale Ulimwenguni hata kule kwenye visiwa vya greenland.

Gemu ijayo na Geita Gold wakipoteza au kutoa droo sijui nani ataangukiwa na Jumba bovu je ni Benchinka au Matola lets wait and see.

Simba chezeni mpira wacheni longolongo.
Wawe na shukrani, refa angekuwa mbaya kwao wasingesawazisha
 
Wanacholalamika hata sikielewi wakati wamepewa goli la offside. Azam ndiyo walitakiwa walalamike, faulo inapigwa Kibu yuko offside, anaingilia mchezo goli linaingia. Sasa Makolo nyie mmeonewa nini kama sio kutaka kudeka tu.
 
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.

Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi bado wakaenda kwa Mangungu ila uzuri kwa Mangungu walikwaa kisiki, kwenda mbaki zaidi bado wakalia na refa Aragija.,

Simba kama hawataki kufungwa au kutoa droo ni vyema wakahamia ligi ya South Sudan wakakutane na Zalan au ligi ya Somalia, Nlitaka kusema ligi ya Zanzibar nikakumbuka kule kuna Mlandege na mambo ya Akandawana kule.

Kubwa zaidi leo wamekuja na kali kwa kutishia kumsomea Albadiri refa wa mchezo wa leo Ramadhan Kayoko hakika kuna mambo yapo kwenye mpira wa Tanzania tu huwezi kuyakuta popote pale Ulimwenguni hata kule kwenye visiwa vya greenland.

Gemu ijayo na Geita Gold wakipoteza au kutoa droo sijui nani ataangukiwa na Jumba bovu je ni Benchinka au Matola lets wait and see.

Simba chezeni mpira wacheni longolongo.
Wanalakamika utafikiri ata timu ya kupata matokeo Kila mechi wanayo, Rage alipowawekea uwepesi kwenye mechi na Tabora united wakajua wanayo timu wakawapumbaza mashabiki wao wakaenda na matokeo mfukoni kumbe chupa tu ndiyo iliyokuwa imebadilishwa but mvinnyo ulikuwa ni ule ule, Azam kwa bahati mbaya awakuwa na match fitness ndiyo kilichowaokoa awa kolo kupigwa gongo 3 vinginevyo waishukuru TFF kuahirisha mechi yao kipindi kile wangefukuzana siku iyo maana mnara mwingine wa 5G ungesimama!
 
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.

Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi bado wakaenda kwa Mangungu ila uzuri kwa Mangungu walikwaa kisiki, kwenda mbaki zaidi bado wakalia na refa Aragija.,

Simba kama hawataki kufungwa au kutoa droo ni vyema wakahamia ligi ya South Sudan wakakutane na Zalan au ligi ya Somalia, Nlitaka kusema ligi ya Zanzibar nikakumbuka kule kuna Mlandege na mambo ya Akandawana kule.

Kubwa zaidi leo wamekuja na kali kwa kutishia kumsomea Albadiri refa wa mchezo wa leo Ramadhan Kayoko hakika kuna mambo yapo kwenye mpira wa Tanzania tu huwezi kuyakuta popote pale Ulimwenguni hata kule kwenye visiwa vya greenland.

Gemu ijayo na Geita Gold wakipoteza au kutoa droo sijui nani ataangukiwa na Jumba bovu je ni Benchinka au Matola lets wait and see.

Simba chezeni mpira wacheni longolongo.
Kulalamika ni haki yao. Isipokuwa kumlalamikia Refa wa Kati Kwa offside feki iliyoonyeshwa na Line.1 siyo sahihi.
 
Kwanza wanatakiwa kuwashukuru walezi wao TFF na Bodi ya Ligi kwa kuiaihirisha hiyo mechi zaidi ya mara mbili, kwa lengo tu la kuwaepusha na kipigo kizito kutoka kwa hao wauza ice cream.
 
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.

Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi bado wakaenda kwa Mangungu ila uzuri kwa Mangungu walikwaa kisiki, kwenda mbaki zaidi bado wakalia na refa Aragija.,

Simba kama hawataki kufungwa au kutoa droo ni vyema wakahamia ligi ya South Sudan wakakutane na Zalan au ligi ya Somalia, Nlitaka kusema ligi ya Zanzibar nikakumbuka kule kuna Mlandege na mambo ya Akandawana kule.

Kubwa zaidi leo wamekuja na kali kwa kutishia kumsomea Albadiri refa wa mchezo wa leo Ramadhan Kayoko hakika kuna mambo yapo kwenye mpira wa Tanzania tu huwezi kuyakuta popote pale Ulimwenguni hata kule kwenye visiwa vya greenland.

Gemu ijayo na Geita Gold wakipoteza au kutoa droo sijui nani ataangukiwa na Jumba bovu je ni Benchinka au Matola lets wait and see.

Simba chezeni mpira wacheni longolongo.
hivi wameona ile klipu kiore na dube wameangushwa ndani ya penalt box ya simba na kayoko akapeta?
 
Back
Top Bottom