mwezi

  1. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Magufuli, ningetangaza Machifu na Watemi wanaojulikana waanze kulipwa mshahara wa Tsh.laki nne kila mwezi

    Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara. Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Corona imekwisha?

    Na Victor Yohana (uvccmichenjezya@gmail.com) Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19. Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hongereni watumishi nimeota mwezi huu wa Tisa mnacheka Tena

    Numeota Kishindo Cha TAL kimetikisa kunako na mwezi huu ni mtam balaa mwezi huu ATM Italia ghrrrrrrrrrrrrrree mpaka ikome kwa kila transaction moja ya mtumishi. Hii ni ndoto lakini kwenye ndoto waweza weka maneno (SI NDOTO NI KWELI) USIKU MWEMA.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwezi mpevu sana huu

    Ukipita huku unasikia ya timu kongwe zaidi katika taifa hili kuanza msimu mpya wa ligi bila jezi mpya, mara paaap uteuzi wa C.E.O mpya wa klabu fulani huko mjini waibua mzozo mkubwa huko twitani na hatimaye watu wenye uzito wao kuanza kuimbiana taarabu, hujakaa vizuri siku ya kwanza tu ya...
  5. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Nashauri wenye Vyeo vya Kuteuliwa wawe wanapewa kiinua mgongo kila mwezi ili waendeshe maisha

    Kusema ukweli hela haikai hata kama utapewa kiinua mgongo cha milioni mia tatu hamsini baada ya miaka mitano, kitaisha tu na huwa aibu kwa mtu aliyewahi shika madaraka makubwa kama ukuu wa mkoa, wilaya au ubunge kufulia, huwaumiza sana watu waliompenda na kumtegemea. Ombi langu kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

    Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na...
  8. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata baby mpya kati kati ya mwezi!

    Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi.. So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji yake umpunguzie dhiki kisha utulie naye. Katika kukabiliana na hilo embu wadau tupambanue, unapambana...
  9. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu idadi ya siku kwenye mwezi

    Mwezi mmoja Una wiki 4, na kila wiki Ina siku 7. Hivyo 7*4=28, Sasa basi siku 30 au 31 kwa mwezi hutoka wapi? Karibuni wanasayansi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Habari wanaJF, kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mwezi una umri mdogo kuliko tulivyodhani! Je, unaamini?

    Habari! Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza maswali mengi kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo Mwezi. Sio ule wa kwenye kalenda bali huu tuuonao angani karibu kila iitwapo leo hasa nyakati za usiku. Yeah, huohuo kama duara fulani linalong'aa. Kwa muda mrefu sasa tafiti mbalimbali zimekuwa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kombe la Dunia 2022 kuchezwa mwezi Novemba na Desemba badala ya Juni na Julai

    MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar inatechezwa kati ya mwezi Novemba na Disemba. Katika taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo leo mechi ya...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Equador ndio Nchi ambayo iko karibu kabisa na Mwezi na Nyota Duniani

    Nchi ya Equador iliyoko Amerika ya kusini ndio nchi ambayo iko karibu kabisa na mwezi na nyota duniani Ukiwa kule kwenye mlima Chimborazo ulioko nchi hiyo nyota na mwezi unaziona juu karibu na kichwa chako
  14. chongoe

    JamiiForums Tanzania tarehe 12 mwezi wa 7 simba anashinda goli mbili

    Habari zenu waungwana, sijaenda kwa mtu wala mganga ila leo nimeangalia, nimepekua vitabu nikaona simba anashinda goli mbili dhidi ya yanga siku ya Jumapili.
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020

    Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza leo Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa hali hiyo...
  16. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwezi June Trump aongeza ajira milioni 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu

    Mwezi wa 6 Serikali ya Marekani imeongeza Ajira milion 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu. Wataalamu walitabiri kua ajira milion 5 zitapotea ila imekua kinyume chake, ajira milion 4.8 zimeongezeka. Mwezi wa 5 watabiri walisema ajira milion 7 zingepotea ila ajabu Trump akatengeneza ajira...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya uchumi mdogo wa kati Tanzania: Kwa sasa Mtanzania kwa mwezi ana kipato cha shilingi 206,000/- kwa mwezi sawa na shilingi 6,900 kwa siku

    Tanzania kuorodheshwa kati ya nchi zenye kipato kidogo cha kati kwa kutumia taarifa za mwaka 2019 ni kuonyesha kuwa kipato cha Mtanzania kimekuwa kati ya dola 1,036 hadi dola 3,045 kwa mwaka kutokana na ripoti ya uchumi wa nchi kwa mwaka 2019. Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa...
  19. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  20. PlayBoyMwema

    JamiiForums Tanzania Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

    Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6) Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa...
Back
Top Bottom