Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.
Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.
Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea...
Habari zenu Wakuu,
Jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja. Kuwa mshahara was mwezi April, mwaka 2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank
Je, kuna ukweli au uhakika wa taarifa hii?
Kama ni ya kweli, kongole kwa Rais Magufuli!
Habari wadau.
Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia.
Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
Nimewasikia baadhi ya viongozi wa Bakwata mkoani Shinyanga kupitia ITV wakilalamika kupotea kwa sukari na mfumuko wa bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Viongozi hao wanadai wafanyabiashara wasio waaminifu wameficha sukari ili waje waiuze kwa bei ya juu pindi mfungo utakapofika...
Wakuu habari zenu,
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JamiiForums maana nimekuwa nikifaidika kila mwezi kwa kupata kipato cha kununulia vocha mjini.
Niliweka post humu JF inayohusu kupeleka watu kwenye machimbo mbalimbali original ya bidhaa kwa bei ya jumla nikasema...
Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa...
Wanabodi,
Heri ya Pasaka.
Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
CORONAVIRUS
🇺🇸 The United States became the world leader in coronavirus deaths Saturday, a grim indicator of the country’s status as the global epicenter of the pandemic.
As of Saturday evening, the U.S. had recorded about 526,396 COVID-19 cases and 20,577deaths, according to Johns Hopkins...
Waziri Mkuu Shinzo Abe ametangaza hali ya dharura kwa muda wa mwezi mmoja katika Mji Mkuu wa wa Japan, Tokyo pamoja na miji mingie sita ya Osaka, Kanagawa, Saitama, Chiba, Hyogo na Fukuoka
Abe amesema Japana itakuwa na mkakati tofauti na nchi za Ulaya. Ameeleza kuwa ali ya dharura iliyotangazwa...
Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani.
Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona.
''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa.
Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28.
Rais pia ametangaza hatua...
Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.
Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao...
Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula.
Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tarehe 17 imekaa kushoto.
Wiki 2 zilizopita yalinikuta hayo, nilipata homa kali sana iliambatana na kikohozi na koo kuuma.
Pia kushindwa kupumua vizuri ikiambatana na kuchoka! Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 15 nililala kitandani siku mbili, pumu si pumu, mafua si mafua, joto mpaka wife alikuwa ananipoza kwa...
Kama tumedhamiria kujilinda mmoja ya msiba uliopo ni wapandaji wa mwendokasi
Akitokea mgonjwa akapanda yale mabasi mtazika mpaka mkome kwa jinsi yanavyojaza hayana hewa nzuri.
Nashauri Waziri husika wa Usafiri pote yanapopita mabasi ya mwendokasi turudishe zile daladala haya kuongeza uhuru wa...
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha...
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Wanabodi,
Angalizo la kuzuia kukereka.
Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi,
Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.