Swali kuhusu idadi ya siku kwenye mwezi

Swali kuhusu idadi ya siku kwenye mwezi

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
547
Reaction score
1,193
Mwezi mmoja Una wiki 4, na kila wiki Ina siku 7. Hivyo 7*4=28, Sasa basi siku 30 au 31 kwa mwezi hutoka wapi?

Karibuni wanasayansi
 
Salaam,

Tunasema ni wiki nne (4) kwa maana siku mbili au tatu zilizosalia kukamilisha 30 au 31 days hazitimizi hata nusu ya siku saba (7) za wiki.

Kimahesabu ingeandikwa 4.2~3 hivi kama sikosei.

Mfano kwenye hesabu za desimali 4.6-9 tunaikadiria kuwa 5, ila 4.1-5 bado tunaikadiria kuwa ni 4.

Niko tayari kusahihishwa.
 
Back
Top Bottom