mwezi

  1. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
  2. Hero

    JamiiForums Tanzania Hebu tujuane tuliokumbwa na homa kali ilioambatana ni kikohozi na hata kushindwa kupumua katika mwezi 1 uliopita na tuelezane tulifanyaje

    Wiki 2 zilizopita yalinikuta hayo, nilipata homa kali sana iliambatana na kikohozi na koo kuuma. Pia kushindwa kupumua vizuri ikiambatana na kuchoka! Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 15 nililala kitandani siku mbili, pumu si pumu, mafua si mafua, joto mpaka wife alikuwa ananipoza kwa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi huu mpaka Aprili 5 turudishe daladala zilizoondolewa njia za mwendokasi vinginevyo mtazika

    Kama tumedhamiria kujilinda mmoja ya msiba uliopo ni wapandaji wa mwendokasi Akitokea mgonjwa akapanda yale mabasi mtazika mpaka mkome kwa jinsi yanavyojaza hayana hewa nzuri. Nashauri Waziri husika wa Usafiri pote yanapopita mabasi ya mwendokasi turudishe zile daladala haya kuongeza uhuru wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Bunge la bajeti mwezi Aprili - Juni liendeshwe kidigitali fedha itayookolewa isaidie mapambano dhidi ya Corona

    Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna. Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote. Fedha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  7. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

    Mshahara wa mwezi March mbona umechelewa??
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kila mwezi wanafunzi wa kike 16 wanapata mimba Dodoma

    Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns".. Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania AfroEast: Album itakayompleka KondeBoy o2 arena mwezi wa 6!

    Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree. Ikitoka hii headlines za dunia zitamuongelea kama BURNABOY.
  10. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Mimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF. Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime mwingine. Changanua wazo lako na weka namba ya simu kama utapenda kuiweka hapa Kisha members wengine...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kaeni chonjo mwezi huu Februari kuelekea Oktoba 2020 uchaguzi mkuu

    Wengi wenu ni wasahaulifu wakubwa na hamuandiki matukio mbalimbali yanayotokea ili muweze kufanyia uchambuzi. Mimi nawakumbusha tu kwamba mwezi February 2010&2015 ulikuwa mwezi wa ajali nyingi sana, kila siku angalau basi moja lilipata ajali na watu kati ya 5 hadi 10 walipoteza maisha. Ajali...
  12. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

    Habari wakuu? Kwa kipato cha 400,000 kwa mwezi nibajeti vipi mambo yangu mpaka nifanikiwe kujenga? Sina wategemezi wengi, hawafiki watano kwa jumla yao. Kipato hicho hakibadiliki sana kwa kila mwezi, niambie ni mbinu gani ulitumia kufanikiwa kujenga kwa kipato kama hicho au unaweza kufanyaje...
  13. impelle

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa kwanza unaisha, siku 30 zinaenda kukamilika mwaka mpya 2020. Uzoefu mpya - China

    Mwaka mpya 2020, ni mwaka umeandamana na matukio makubwa ya kihistoria kama Marekani kumuua kwa maksudi Kamanda mkuu jeshi la mapinduzi ya Iran J. Soleimani, kutunguliwa kimakosa kwa ndege ya abiria ya Ukraine huko Iran, kushambuliwa kwa kambi za kijeshi za marekani huko Iraq na kuzusha hofu...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Selection ya Form 5 na chuo huwa ni mwezi gani?

    Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo: Civ - B Kiswa - B Hist - C Geo - C Engl - B Engl in Literature - C Phy - C Chem - B Bios - A Math - B Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

    Habarini! Niende kwenye mada. Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2. Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Hemed PHD: Nina mwezi mmoja na nusu sijaoga

    Wakati akifanyiwa interview kwenye kipindi Cha block89 Cha Wasafi fm Hemedi amesema yeye apendi kuoga na niliwahi kukaa mwezi 1 na nusu bila kuoga na ninapiga mademu Kama kawa.
  17. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRENI DAR- ARUSHA MWEZI UJAO

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema kuanzia mwezi ujao wakazi wa Mkoa wa Arusha, wataanza kufurahia huduma ya usafi ri wa treni ya abiria. Kamwelwe alisema wakazi hao ambao walikuwa wakisikia usafiri huo kwa wenzao wa Mkoa wa Kilimanjaro, sasa wajiandae kupata...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Amnesty: Waandamanaji 304 waliuawa Iran mwezi Novemba

    Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba. Awali shirika hilo lilikadiria watu 208, wakiwemo watoto wawili wa umri wa miaka 15 na 17. Lakini Iran...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Tanzania umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019

    Imeripotiwa kuwa Mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019. Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth Minja ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 10, 2019 mjini Dodoma...
  20. S

    JamiiForums Tanzania BASATA yampa Rosa Ree mwezi mmoja kulipa faini ya kiasi hiki cha fedha

    Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa faini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja, “Baraza la...
Back
Top Bottom