mwezi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

    Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED. Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa...
  2. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mliodaka mwezi huu vipi kuna mabadiliko ya bodi ya mkopo

    Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB? Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
  4. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania TFF wamezingua hii ligi itaisha lini watani mwezi wa saba kweli?

    Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne utasikia mechi imeludishwa nyuma Ngoja tuone. Alafu hapo ligi inaenda mpaka tarehe 18 mwezi wa saba...
  5. safuher

    JamiiForums Tanzania Kuvunja utata kwa wanaosema ule mwezi ni wa jana.

    Katika mambo yanayonishangaza ni hii kaulii ya kusema kuwa "ule wa jana kabisa ulee sio wa leo" Wengine husema waleo hauwezi kuchelewa vilee ule mkubwa huutafuti. Binafsi nafuata mwezi wa kimataifa lakini hii haimaanishi nikubali kila linalosemwa na wenzangu kuwaponda wa mwezi wa kitaifa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tumeona mwezi hapa Dar-es-Salaam

    Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam. Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu. Kazi kwenu wahusika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

    Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sayansi na Teknolojia isitumike kufahamu mwezi utaandama siku gani?

    Jumuia ya Waislamu duniani kote imekuwa katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hapa Tanzania na Afrika Mashariki nzima sikukuu ya Idi inatarajiwa kuwa Alhamisi au Ijumaa, kutegemea na kunadama kwa mwezi. Swali langu ni kwamba kwa nini sayansi na teknolojia isitumike kufahamu mwezi...
  9. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

    Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy. Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Lamu kuanza majaribio mwezi ujao, ifahamike hii bandari itakuwa baba lao kwa bandari zote ukanda huu

    Kwa mwendo huo huo..................... Officials will start testing operations of the new Lamu port at the end of next month ahead of the June 15 commissioning. The first batch of equipment including low load trailers, extension cargo handlers and trailers to be used at the...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

    Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha...
  13. Iheanacho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
  14. alumn

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021. ==== Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  17. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

    Mpo poah humu Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita Magufulists. Kwa kweli wanatia huruma sana. Mitano ilishindikana, hata mwaka mmoja hakuumaliza, Aongoze milele...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

    Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma Tokea Kwaresma inaanza hadi inaisha hatujawahi kuwapangia watu (dini yoyote) ni vitu gani wapost kwakuwa sisi tupo kwenye mfungo. So na sasa mambo yawe yale yale msianze kutupa masharti ya nini cha kupost kwenye mitandao ya kijamii...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela. Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela. Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
  20. Akthoo

    JamiiForums Tanzania Kheri na baraka za funga ya swaumu ya mwezi wa ramadhan 2021

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021. Kwa mujibu wa mufti wa Tanzania, waislamu wataanza kufunga tarehe 14/04/2021. Nachukua fursa hii kuwatakia mfungo...
Back
Top Bottom