Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela.
Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela.
Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021.
Kwa mujibu wa mufti wa Tanzania, waislamu wataanza kufunga tarehe 14/04/2021.
Nachukua fursa hii kuwatakia mfungo...
Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa Artemis.
NASA imetoa pia ombi la bajeti yake itakayowezesha kumpeleka mwanadamu mwezini kwa mara ya...
MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI.
Leo 12:15hrs 04/04/2021
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
Kwa Mambo anayoendelea kuyafanya Rais Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BoT na kadhalika. Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha, tutamsahau kabisa kabisa Hayati Magufuli kwani mama atakuwa amekonga...
Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme.
Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa mkoani Njombe kikazi.
Jana J J Mnyika alitangaza kikao kingine cha waandishi wa habari ambacho...
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi.
Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
Kumekucha.
Ni siku mpya, wiki mpya na mwezi mpya. 1/3/21. Tuendelee kupambana huku tukilinda afya zetu katika nyakati hizi zenye changamoto lukuki za afya. Mungu abariki makusudio yetu.
Amin.
Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni)
Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa.
Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel.
Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu.
Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu...
Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi.
Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
Juzi TRA ya Tz walisema wamekusanya trilioni mbili, mitandao haikukalika kwa namna mataga walisifia wengine wakisema Tanzania sasa inaipiku Kenya kiuchumi, haya hapa KRA imekusanya mara mbili ya hiyo...
===============================
Kenya Revenue Authority (KRA) has signaled a speedy economic...
Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November.
Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo.
Waandaji wa tuzo hizo waliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumanne kuwa onyesho la kila mwaka...
Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.