Salary slip za Juni 2021 zimerekebishwa, Hongera Hazina na waliopaza sauti

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Tunawasaubiri bodi watoe deni lao halisi mwezi huu bila VRF!
Ukienda ofisini kwao wanakupa ni kweli VRF imetolewa ya mwezi huu ila VRF ya mwezi wa nne,tarehe 30+ penalt wamegoma kuzifuta kwa utaratibu wanaojua wao.
 
Ukienda ofisini kwao wanakupa ni kweli VRF imetolewa ya mwezi huu ila VRF ya mwezi wa nne,tarehe 30+ penalt wamegoma kuzifuta kwa utaratibu wanaojua wao.
Wananze kugoma wakati VRF ilikuja 2013, na kabla ya hapo hakukuwa na VRF!

Lazima tutawashtaki tu bodi hata kama ni 2030, watalipa fidia kubwa sana
 
sasa chapeni kazi kwa bidii,

acheni kupiga majungu na fitina.

acheni kusemana semana.

acheni kula RUSHWA.

acheni ubadhirifu wa fedha na mali za serikali.

hudumieni wananchi kwa bidii na maarifa, acheni uvivu na uzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawasaubiri bodi watoe deni lao halisi mwezi huu bila VRF!
Mwezi Julai watu wajiandae tu maana kuna makundi mawili
1. Deni litapungua
2. Deni litaongezeka
Hata wale watu waliomaliza na salary slip zinasoma sifuri wajiandae pia.
 
Back
Top Bottom