Ukiweka milioni 200 kwenye fixed deposit unapata mrejesho wa 1.5m kwa mwezi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,492
2,000
Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.

Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,934

Kila bank ina % yake, hyo hela ndogo sana, hao watakua CRDB na NMB wakaksi sana, bank zingne ambazo pia ni risk kubwa sabab hawachelew kutangaza mufilisi. Wanakupa hela zaid ya hyo .ukienda bank kubwa kubwa zenye nyodo lazima wakukomeshe. Kwanza hela kama hyo lazima mkae mezan kupanga hyo %.

Hyo nahis itakua 8-9%. Matapeli kabis hao. Enzi hzo access bank iko bongo..nakumbuka niliwekaga hela flan..nakumbuka walinipa 14%.

Sasa ndo hvyo bank yenyew ikajifia nahis, hiv bado ipo? Nilifanya hvyo miaka kama mi3 iliyopita hivi nahisi.
 
From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,085
2,000
Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.

Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Tatizo ni benki ikifilisika hutaipata fedha yako.

Ukitaka kuiweka fedha yako kwa usalama, iwekeze serikalini. Nunua treasury bond au bill. Kwa kufanya hivyo fedha yako inakuwa safe. Labda tu nchi ibadilike iwe kama Somalia.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,492
2,000
Kila bank ina % yake, hyo hela ndogo sana, hao watakua CRDB na NMB wakaksi sana, bank zingne ambazo pia ni risk kubwa sabab hawachelew kutangaza mufilisi. Wanakupa hela zaid ya hyo .ukienda bank kubwa kubwa zenye nyodo lazima wakukomeshe. Kwanza hela kama hyo lazima mkae mezan kupanga hyo %.

Hyo nahis itakua 8-9%. Matapeli kabis hao. Enzi hzo access bank iko bongo..nakumbuka niliwekaga hela flan..nakumbuka walinipa 14%.

Sasa ndo hvyo bank yenyew ikajifia nahis, hiv bado ipo? Nilifanya hvyo miaka kama mi3 iliyopita hivi nahisi.
Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 5 utaiona faida.
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,513
2,000
Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.
Approach nzuri ni portfolio ya investments/businesses. Usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja!

Kwa mfano, kama una Sh200m, unaweza kuwekeza Sh100m kwenye hati fungani (govt bonds au corporate bonds) na Sh50m kwenye biashara au hata shares na Sh50m kwenye real estate. Mchanganyiko unategemea has a risk appetite yako pamoja na factors nyingine lukuki.

Fixed deposit ni nzuri kwa short term. Kama long term, bonds zinaweza kuwa option nzuri zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom