Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
62,527
108,128
Habari za jioni wataalamu.....

Ni mwezi sasa mambo ya ankra yamekwama....maafisa utumishi wanasema hawajui, wengine wanasema jibu kutoka Dodoma ni "mfumo umefungwa kwa ajili ya maboresho".

Maafisa wa bank hawatoi mikopo kwasababu makato hayawezi kuingizwa, mfumo umefungwa, jamani mwezi marekebisho tu???

Kunani huko jikoni??
 
Hata bodi ya mikopo wameacha kutoa statement, eti zimesitishwa. Watu tunaendelea kukatwa wakati tulishamaliza deni lao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom