Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa mkoani Njombe kikazi.
Jana J J Mnyika alitangaza kikao kingine cha waandishi wa habari ambacho...
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi.
Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
Kumekucha.
Ni siku mpya, wiki mpya na mwezi mpya. 1/3/21. Tuendelee kupambana huku tukilinda afya zetu katika nyakati hizi zenye changamoto lukuki za afya. Mungu abariki makusudio yetu.
Amin.
Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni)
Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa.
Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel.
Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu.
Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu...
Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi.
Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
Juzi TRA ya Tz walisema wamekusanya trilioni mbili, mitandao haikukalika kwa namna mataga walisifia wengine wakisema Tanzania sasa inaipiku Kenya kiuchumi, haya hapa KRA imekusanya mara mbili ya hiyo...
===============================
Kenya Revenue Authority (KRA) has signaled a speedy economic...
Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November.
Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo.
Waandaji wa tuzo hizo waliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumanne kuwa onyesho la kila mwaka...
Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
Habari wadau,
Kwanza nianze kwa kusema hii si mara yangu ya kwanza kuokota hela kama ambayo naamimi hata wewe msemaji huenda umewadia kuokota hela pengine zaidi ya mara moja.
Katika hali ya kawaida(kwani naamini ni kwa wengi), nimekuwa nikiokota hela ndogo ndogo(shilingi 1000,2000,500, n.k)...
Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996
Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya...
Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha.
Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni watanzania wenzetu, wanaturudisha kule kule tulikotoka sio tu kwa kutoa mishahara inayoendana na gharama...
Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar.
Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza, nikarudia kama awamu mbili...
Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati.
Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la kuangalia kama mikataba hiyo ya kazi inakidhi vigezo vya kisheria na ina tija.
Chanzo: ITV habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.