mwezi

  1. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anatulipisha Tsh 50,000 kwa nyumba kila mwezi kuzoa taka Masaki (Dar) lakini huduma ni mbovu

    Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila. Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Watanzania walitumia takriban Tsh. bilioni 199.41 kwa ajili ya Internet mwezi Juni

    TCRA katika taarifa yao kuhusu ufafanuzi wa bei za data iliyotolewa Mei 9, 2022 ilionesha kuwa zaidi ya 95% ya watanzania hutumia data kwa kujiunga vifurushi vinavyotolewa na mitandao. Yaani watanzania hawatumii internet kabla ya kujiunga na kifurushi. Suala hili limenifanya niangalia kwa mwezi...
  5. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nalipwa 500,000/=(laki tano) kwa mwezi, unanishauri niwekeze wapi?

    Asalaam wakuu. KUfupisha uzi. Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu). Umri wangu 20's. Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu. Mwanzo niliwaza...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki. Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
  7. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa tano sasa mtoto Warda haonekani

    Ni miezi mitano imepita tangu Mwanafunzi wa kidato cha pili Nyumbu Secondary, Kibaha Mkoani Pwani Warda Mohamedi(15) atoweke nyumbani alipokuwa anaishi April 19,2023 na hadi sasa hajulikani alipo licha ya juhudi za Familia kumsaka huku Polisi ikisema inaendelea na uchunguzi. Mwandishi wa...
  8. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi September

    Ety wakuu mnaotumia CRDB.. vipi mshahara wa mwezi September.. ushatoka...?
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

    Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala. Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
  10. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sea Piano sp-1002 full box, ilinunuliwa mwezi wa 1 mwaka huu 201

    Habari wandugu , Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures.. Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/= Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana Mawasiliano. 0672701329
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    NI kweli BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI Statistics zaonyesha hivi
  12. ajent45

    JamiiForums Tanzania Airtel wameniibia kamisheni yangu ya mwezi wa nane

    Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Picha: Kifahamu kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi

    Ni hiki hapa wakuu. Vipo vya aina kadhaa.
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa tatu huu vijana wa IT wanaojimwambafai kwa misamiati ya IT wameshindwa kuni hack kwa dau la laki 3, Maneno tu

    Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao, Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri. Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani...
  15. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

    Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu. Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah! Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana naokoa sana bando langu😅 See this evidence 🤸🤸
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo. Katiba ya Madagaska inamtaka kiongozi mkuu wa nchi anayetaka kugombea...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

    Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi. Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya! Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!. Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60. Nadhani hii iwekwe kwenye...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

    Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337. TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
Back
Top Bottom