mwezi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku. Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande, mgao huu wa umeme wa mwezi wa saba haukubaliki

    Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme. Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi wa saba, tunategemea kuwa na mgao kuanzia mwezi wa 10 maana ndo kiangazi kikali kinaanza. Huyu...
  3. cold water

    JamiiForums Tanzania Sijaona hedhi yangu ya mwezi huu July, nitakuwa na mimba?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023 Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi...
  4. The Cock

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
  5. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  6. Mtemi Eno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2026 hapa bongo patakuwa na wachezaji wanalipwa milioni 50 kila mwezi

    Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Saba umefika, Watumishi wategemee ongezeko la mshahara au increament?

    Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze. Kazi iendelee
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Leo sabasaba, tunakumbuka kuzaliwa kwa TANU, tarehe 7/7/1954

    Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

    Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu. Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni...
  11. Mtini

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  12. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  13. African Geek

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  15. Mti mmkavu

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa kichekoo

    Tarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

    Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia? Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
  19. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

    Habari wadau. Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge! Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo! Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji...
Back
Top Bottom