Mwezi wa tatu huu vijana wa IT wanaojimwambafai kwa misamiati ya IT wameshindwa kuni hack kwa dau la laki 3, Maneno tu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,

Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k

Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.

Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani ama wamevaa vinyago, ila vitendo ni sifuriiiiiii

Utasikia

"system yako naweza kuingia kwa sql injection"
"Bro yani kuna hio kitu inaitwa man in the middle attack huchomoki"
"Vulnebility nikiipata tu umekwisha"

Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Manenooooo !! VITENDO HAKUNA/

Niliwapa challenge ya kunihack kwa elf 30 lakini nilipoona ni wepesi nikaongeza iwe laki 3 cash,

Kuna muda huwa tunatumia wifi moja lakini wametoka kapa.

huko fb kuna moja naona angalau alijitahidi kutaka kunitumia website inayofanana na fb ili niweke password zangu, Password niliyomwekea ni "HupatiKituBoyaWewe "
 
Wengi wao baada ya chuo ndio wale unawakuta Makumbusho maduka ya iphone wakiwa wamevaa vinjunga, ndevu zimepakwa superblack wakilamba lips. Maneno mawili wanachomekea programming codes lakini kichwani weupe.

Bongo vijana wengi husomea vitu vyuoni sio sababu ya kupenda fani husika bali ni kutaka kuonekana kuwa na wao wanasomea kitu fulani.
 
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,

Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k

Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.

Utasikia

"system yako naweza kuingia kwa sql injection"
"Bro yani kuna hio kitu inaitwa man in the middle attch huchomoki"
"Vulnebility nikiipata tu umekwisha"

Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Manenooooo !! VITENDO HAKUNA/

Niliwapa challenge ya kunihack kwa elf 30 lakini nilipoona ni wepesi nikaongeza iwe laki 3 cash,

Kuan muda huwa tunatumia wifi moja lakini wametoka kapa.

Ni mpaka leo ni bla bla bla tu, huko fb kuna moja naona angalau alijitahidi kutaka kunitumia website inayofanana na fb ili niweke password zangu, Password niliyomwekea ni "HupatiKituBoyaWewe "
watoe madogo maisha mkuu 😅😅😅
unawaambia wahack kitu kilicho juu ya uwezo wao
 
Acheni wivu na nyie si mna kozi zenu za sheria na siasa mnaishia kuuza bandari vichwani 0 ...wengi waliokomenti wamechukuliwa madem zao na ma IT, wengine ni IT Wenyewe... Msiogope wana komentini
 
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,

Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k

Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa vitendo ni sifuri.

Wengine wameweka picha za wale hackers waliovaa ma pull over sura hazionekani ama wamevaa vinyago, ila vitendo ni sifuriiiiiii

Utasikia

"system yako naweza kuingia kwa sql injection"
"Bro yani kuna hio kitu inaitwa man in the middle attack huchomoki"
"Vulnebility nikiipata tu umekwisha"

Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Maneno, Manenooooo !! VITENDO HAKUNA/

Niliwapa challenge ya kunihack kwa elf 30 lakini nilipoona ni wepesi nikaongeza iwe laki 3 cash,

Kuna muda huwa tunatumia wifi moja lakini wametoka kapa.

huko fb kuna moja naona angalau alijitahidi kutaka kunitumia website inayofanana na fb ili niweke password zangu, Password niliyomwekea ni "HupatiKituBoyaWewe "
Kua specific unataka wa ku hack nini? Una system , website unataka u test security yake, au unataka wa hack account zako za mitandao ya kijamii, kama ni websitw au system nashauri ungeiweka na sie tuione, labda kuna jambo linaweza fanyika,

Kama ni account za social media, sidhani kama neno hack ni la kutumika , maana hapo kama ku hack sio we ku hackiwa ni fb, kinacho weza fanyika phishing ndio maana huyo dogo kakupa page inayo fanana na fb,
 
Sio jambo jepesi ila sio ndo unajikuta mtaalam kwenye teknolojia
Hata wewe kwenye tasnia yako, lazima uwe mtaalamu kama nafanya kitu ambacho wewe huwezi lazima uheshimu , na lazima nivimbe, programming sio kalio boss, hii ni one of the most difficult pro in universe ndio maana hamna wapaka poda huku, so RESPECT,
 
Back
Top Bottom