mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni-Ari Shavit

    Wanaukumbi. Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mwandishi wa Habari aliyeandamana ahukumiwa kwenda jela Miaka 8.5

    Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani. Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
  4. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • CR Belouizdad 🇩🇿 • Al Hilal 🇸🇩 • Medeama 🇬🇭 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: • Wydad AC 🇲🇦 • Simba SC 🇹🇿 • ASEC Mimosas 🇨🇮 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: • Al Ahly 🇪🇬 • Petro de Luanda 🇦🇴 • Yanga SC 🇹🇿 • FC Nouadhibou 🇲🇷 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: • ES Tunis 🇹🇳 • Pyramids...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa kwa Dkt. Slaa na wenzie, Upinzani muangalieni kwa macho ya kijasusi Mwandishi Bollen Ngetti

    Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano. Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
  6. zittahmore

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Kifo cha mwandishi

    HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: More Mawasiliano: 0756320219 Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  11. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

    Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni. Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aahidi kuwasomesha Watoto wa Abdulaziz Ahmeid, Mwandishi wa Habari wa Channel Ten aliyefariki

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari aliyeripoti taarifa za Tetemeko Uturuki akamatwa

    Mamlaka zinamshikilia Mir Ali Koçer, Mwandishi, wa Habari wa Kujitolea anayetuhumiwa kuweka Mtandaoni taarifa za Uokoaji na hali za Majeruhi wa Tetemeko la Ardhi lililoua takriban watu 50,000 Februari 6, 2023. Mir Ali Koçer ni kati ya Waandishi 4 waliokuwa wakichunguzwa kwa kuripoti taarifa za...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Algeria: Amnesty yatoa wito wa kuachiliwa kwa Mwandishi Ihsane El Kadi

    Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

    Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma. Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mwandishi atimuliwa ziara ya Waziri Mkuu

    Mwandishi wa Habari wa EATV Rebeka Kinyunyu amefukuzwa kushiriki ziara ya Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa iliyoanza leo 12.12.2022 Mkoani humo bila kuelezwa sababu. Aliyemfukuza ni Afisa habari Msaidizi Mkoa Katavi John Mganga ambae amedai kuwa amepokea maelekezo kutoka kwa katibu Tawala Mkoa...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Qatar: Mwandishi wa Habari wa pili afariki dunia, saa 48 baada ya yule wa Marekani kufariki

    Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa pili kufariki kwenye Kombe la Dunia huko Qatar ikiwa ni saa 48 baada ya Mwanahabari wa Marekani, Grant...
Back
Top Bottom