mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Scars

    JamiiForums Tanzania Huyu mwandishi yupo field? Mbona amemkosea adabu kocha Gamond kwa swali la kiudhalilishaji alilomuuliza?

    Yanga kufungwa mechi mbili tayari mwandishi anamuuliza kocha kama bado Yanga wapo kwenye mbio za ubingwa. Kwenye round ya 10 kupoteza pointi 6 tu tayari mwandishi haioni Yanga kwenye nafasi ya kugombania ubingwa. Hii sijawahi kuiona popote pale na imenistua. Huyu mwandishi inawezekana lengo...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

    Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia jukwaa letu pendwa la Jamiiforums, muda ni kidogo sana kama kawaida yangu ya kuendelea kutoa ushauri...
  4. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa Mombasa atuhuhumiwa kutuma wahuni kumlawati mwanamitandao mkosoaji wake

    Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa huku mwenyewe akikiri kutekwa, kuteswa na kulawaitiwa na vijana wawili.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THRDC yalaani Mwandishi wa Ayo TV kuvamiwa na kunyang'anywa kadi ya kamera Mkoani Arusha

    TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
  6. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

    Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

    Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana. Naona kama anatumika kutudhalilisha Yanga. Ni mpuuzi sana.
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

    I salute you kinsmen Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR. huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

    https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi aingia mtegoni

    Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye. Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo hakuwahi kufikiria kuwa mwandishi wa habari

    Maxence Melo Miaka 20 iliyopita ,bwana Melo alikuwa miongoni mwa wa waasisi wa mtandao wa Jamii Forum, mtandao uliokuwa ukiibua masuala ya rushwa na kusaidia kushinikiza uwajibikaji wa viongozi wa kisiasa. Shughuli hizo zilimpelekea kufahamika duniani, kwa kuwakilisha uandishi bora katika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo na wenzake waachiwa kwa dhamana kutoka Polisi

    Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja. Taarifa zaidi zinafuata... ~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari ~ THRDC: Mwandishi...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

    Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta. Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
  16. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwandishi wa Habari mbaroni kwa kujifanya afisa Usalama wa Taifa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  18. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
Back
Top Bottom