mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Marekani ashikiliwa DRC

    Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi hiyo Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye anaandikia magazeti ya Marekani The Nation na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari auawa kwa risasi akiwa anatoka nyumbani kwake, binti yake ajeruhiwa

    Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico. Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Mahakama atuhumiwa kumuua mwandishi wa habari Misri

    Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao. Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe. Mwili...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha kurudishwa Nchini Marekani kwa mwandishi na mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011. Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari mwingine adaiwa kupelekwa kusikojulikana

    Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake. Chanzo...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Daraja la II - 6 Posts

    EMPLOYER: Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  11. Investaa

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa!

    Habari Authors. Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS. Nimepata wazo la kukutana na waandishi wa dar kwanza iliniwaze kuwaelezea how ebook business works and how...
  12. benny gilbert

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa...

    Habari mwandishi wa vitabu! Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari raia wa Ufaransa auawa kwa bomu katika vita Nchini Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu. ------ A French journalist has been...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vatican yalaani vurugu za Israel katika mazishi ya mwandishi wa habari

    Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika mazishi ya mwandishi wa Habari Shireen Abu Aqla. Askari wa Israel waliwapiga waombolezaji...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwandishi wa Habari afariki baada ya kujifungua

    Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata pigo baada ya kuondokewa na mwanachama wake wa muda mrefu, Hannerole Mrosso aliyefariki baada ya kujifungua katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kitengo cha Wazazi Meta Jijini Mbeya tarehe Mei 13, 2022. Akitoa taarifa mume wa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mwandishi wa habari atupwa jela mwaka mmoja kwa kuikosoa Taliban katika mitandao ya kijamii

    Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa Taliban amesema amehukumiwa kwa makosa ya jinai. Qaderi ni ripota wa Radio Nowruz amekuwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani na Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera

    Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi. Shireen Abu Akleh, m Mmarekani mwenye asili ya Palestina mwenye umri wa miaka 51, alipigwa risasi licha ya...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina...
Back
Top Bottom