mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje urais? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

    Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
  3. A love

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kazi za online, mwandishi wa kujitegemea

    Habari zenu, ninatafuta ajira kwa kuandika online kwa mtu mwenye anafahamu anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji. Naandika kwa lugha ya kiswahili, ni machapisho ya aina yoyote ile.
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Umma ni nani na ana qualification zipi

    Huwa naona vibao kwenye vyumba au ofisi vimeandikwa Mwandishi wa umma, naomba kujuzwa hawa huwa wana Level ipi ya Elimu, Je huwa wana lesseni ya kazi hizo, kwa kingereza anaitwa nani, kazi zake kwenye ofisi hiyo huwa zinahusu nini na je unahitaji kibali kingine cha aina gani ili kufanya kazi hii.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - Mwandishi aliepigwa na askari afarijika

    Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar. Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Mwananchi Jesse Mikofu ashambuliwa na askari akitekeleza majukumu yake

    Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu ameshambuliwa na askari wa vikosi vya SMZ wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi leo asubuhi Jumatano Aprili 21, 2021. Mikofu amekumbwa na kadhia hiyo baada ya kuwapiga picha askari hao wakati...
  8. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
Back
Top Bottom