mwanamke

  1. Guacamole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  2. 101 East

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 20 kwa kukutwa na bangi

    #HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake. Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
  3. Mr Pixel3a

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  4. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  5. Martyr 360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

    Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana. Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
  6. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mnadanganywa kujali mwanamke ni kumsaidia kupika ama kufua. Niwasihi kwamba hayo sio majukumu yenu ni uboya

    Especially mwanamke akiwa msomi kapata ka exposure ama wawe awe born town wa kuangalia hizo sinema za wakorea. Ni wazi kwamba huwa kuna majukumu mna wajibu wa kuyafanya pamoja ama kusaidiana lakini kuna makujumu ya mwanaume unayohitaji kuyafanya bila msaada wa mwanamke na kuna majukumu ya...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke wako anachepuka tazama Miamala

    Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo. Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako...
  8. Abuu Nuwas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anaekupenda

    Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi? Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia...
  10. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si niliwambia msioe:- Kuna mwanamke anaenda kuangukiwa na chuma kizito kisa ndoa..!!!

    INTRODUCTION... Za muda Wana JF ....... Unaukumbuka mkasa huu wa John, Michael na Mkewe.... https://www.jamiiforums.com/threads/nikiwaambia-msioe-muwe-mnasikia-kwa-miezi-4-mwamba-kaishi-maisha-magumu-bila-mshahara-kumbe-mkewe-ana-laki-8-ndani-na-usaliti-juu-kaambulia.1925237/ MAIN BODY...
  12. blogger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

    Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
  14. Martyr 360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bora mwanamke achepuke au ajichue?

    Wazee wanawake wengi wamekuwa wakijichua hata wakiwa wameolewa, japo hili Jambo huwa wanafanya Kwa Siri Sana, hata hivyo ni kwasababu hawajui wataonekanaje na waume zao wakigundulika wanafanya hivyo. Mi naamini kuna mazingira mengi yanaweza kufanya mke wako asiridhike na aamue kujichua au...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

    Hii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
  16. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu. Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi PM au ni text kwa 0624942380. Nipo serious kwahili barikiwa sana kwa atakae jitokeza.
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  18. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

    i hope wazima wana Jamii forum Hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga. Familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  20. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
Back
Top Bottom