Nawezaje kujua rangi ya ile kitu iliyofunikwa bila kuiona?

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
779
1,355
Habari za muda huu wana JF. Natamani sana kufahamu ni jinsi gani naweza kujua ile rangi ya ndani, rangi ya asali bila ya kuichungulia.

Ni viashiria gani au ni sehemu gani ya mwili iliyo public ambayo naweza kuangalia ili niweze kujua rangi ya kule ndani.

Natamani sana asali nyeupe ila dada zetu ziku hizi wanajichubua sana.

Natanguliza shukrani.
 
Angalia lips mkuu.. Ile kitu inafanana na lips za mhusika kwa 100%.

Ukiomuona ana lips nene nzuri zilizojaa, bas jua kbsa hata "ile kitu" itakuwa umejaa jaa vzur, itakuwa na mashavu.

Tuachane na hayo, vip mkuu umeshanunua mahitaJi ya shule?
Sasa, ndo za siku hizi zina rangi tena?
 
Back
Top Bottom