Trump atakiwa kumlipa mwanamke aliyemdhalisha Kiongono Tsh. Bilioni 211

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1706331434171.png

MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa Kingono mwaka 1990.
1706331421465.png

Kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama, Mgombea Urais huyo wa Republican atalazimika kulipa Tsh. Bilioni 18.5 kama fidia ya udhalilishaji na Tsh. Bilioni 27.9 kama fidia ya kuharibu heshima ya mtu mwingine na Tsh. Bilioni 165.4 kama adhabu.

Hata hivyo, Trump amesema hajaridhishwa na uamuzi wa Mahakama na atakaka rufaa kupinga hukumu hiyo huku akimtuhumu Rais Joe Biden kutoa maelekezo kwa Mahakama ili kumharibia sifa kuelekea Uchaguzi Mkuu utakafanyika mwishoni mwa mwaka 2024.

=========

The jury in Donald Trump's defamation trial against E Jean Carroll ordered the former president to pay $83.3 million for defaming her in 2019 after she accused him of sexually assaulting her in a department store in the 1990s. As per the verdict read on Friday, the 2024 Republican candidate must pay $18.3 million in compensatory damages and $65 million in punitive damages.

Carroll had sought at least $12 million for reputation repair. She also demanded compensation for additional damages. A separate jury had last year found Trump liable for sexually assaulting then defaming Carroll. He was asked to pay $5 million then.

Here's a breakdown of the Friday verdict: - $7.3 million in compensatory damages outside of the reputation repair program, - $11 million in compensatory damages for a reputation repair program only and - $65 million in punitive damages.

Trump almost immediately reacted to the verdict, saying he will appeal it. "Absolutely ridiculous! I fully disagree with both verdicts, and will be appealing this whole Biden Directed Witch Hunt focused on me and the Republican Party. Our Legal System is out of control, and being used as a Political Weapon. They have taken away all First Amendment Rights. THIS IS NOT AMERICA!" he wrote on Truth Social.

After the verdict was read, E Jean Carroll and her lawyers hugged, shook hands and stood for the jury to exit. On the other hand, Donald Trump's defense team promptly exited the courtroom once they were dismissed.
"My advice to you is that you never disclose that you were on this jury, and I won't say anything more about it," Judge Kaplan told the jury.

TIMES NOW
 
View attachment 2884274

View attachment 2884273

Gold diggers Women A.K.A Yatima mwendokasi/Kausha damu mnakwama wapi kujilia vinono USA?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ukupata kesi kama hio, mahakama ili kukupa adhabu inaangalia utajiri wako?
Mfano mtu kapuku akikutwa na hatia ya kumdhalilisha mtu mahakama inaweza kumoa hukumu ya kulipa pesa yote hio wakati hana.

Au mahakama inakuna na hukumu kulingana na utajiri wa mtu?
Mdada gan wa kizungu ataanza kumpa case jamaa kapuku? Aambulie vumbi? Wanapigwa wenye maokoto ili bidada apate mgao wa kushato.

Inaangalia ukubwa na umuhimu wako, kama hujulikani hata mtaani kwako hukumu yako itakuwa tofauti na mtu anayejulikana nchi nzima au duniani kote.
Hivi ukupata kesi kama hio, mahakama ili kukupa adhabu inaangalia utajiri wako?
Mfano mtu kapuku akikutwa na hatia ya kumdhalilisha mtu mahakama inaweza kumoa hukumu ya kulipa pesa yote hio wakati hana.

Au mahakama inakuna na hukumu kulingana na utajiri wa mtu?
 
Hivi ukupata kesi kama hio, mahakama ili kukupa adhabu inaangalia utajiri wako?
Mfano mtu kapuku akikutwa na hatia ya kumdhalilisha mtu mahakama inaweza kumoa hukumu ya kulipa pesa yote hio wakati hana.

Au mahakama inakuna na hukumu kulingana na utajiri wa mtu?
Nani apeleke kesi mahakamani kuwa kadhalilishwa na kapuku? makapuku mnapigana vibao mambo yanaisha.
 
View attachment 2884274
MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa Kingono mwaka 1990.
View attachment 2884273
Kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama, Mgombea Urais huyo wa Republican atalazimika kulipa Tsh. Bilioni 18.5 kama fidia ya udhalilishaji na Tsh. Bilioni 27.9 kama fidia ya kuharibu heshima ya mtu mwingine na Tsh. Bilioni 165.4 kama adhabu.

Hata hivyo, Trump amesema hajaridhishwa na uamuzi wa Mahakama na atakaka rufaa kupinga hukumu hiyo huku akimtuhumu Rais Joe Biden kutoa maelekezo kwa Mahakama ili kumharibia sifa kuelekea Uchaguzi Mkuu utakafanyika mwishoni mwa mwaka 2024.

=========

The jury in Donald Trump's defamation trial against E Jean Carroll ordered the former president to pay $83.3 million for defaming her in 2019 after she accused him of sexually assaulting her in a department store in the 1990s. As per the verdict read on Friday, the 2024 Republican candidate must pay $18.3 million in compensatory damages and $65 million in punitive damages.

Carroll had sought at least $12 million for reputation repair. She also demanded compensation for additional damages. A separate jury had last year found Trump liable for sexually assaulting then defaming Carroll. He was asked to pay $5 million then.

Here's a breakdown of the Friday verdict: - $7.3 million in compensatory damages outside of the reputation repair program, - $11 million in compensatory damages for a reputation repair program only and - $65 million in punitive damages.

Trump almost immediately reacted to the verdict, saying he will appeal it. "Absolutely ridiculous! I fully disagree with both verdicts, and will be appealing this whole Biden Directed Witch Hunt focused on me and the Republican Party. Our Legal System is out of control, and being used as a Political Weapon. They have taken away all First Amendment Rights. THIS IS NOT AMERICA!" he wrote on Truth Social.

After the verdict was read, E Jean Carroll and her lawyers hugged, shook hands and stood for the jury to exit. On the other hand, Donald Trump's defense team promptly exited the courtroom once they were dismissed.
"My advice to you is that you never disclose that you were on this jury, and I won't say anything more about it," Judge Kaplan told the jury.

TIMES NOW

Duh,
 
Wameanza nae Tena.
Freemason wanapenda sana hizi kesi za ngono kwa mastaa wanaoenda kinyume nao

Kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu Freemasonry na wengi wamekaririshwa kuamini kwamba ni mambo ya ushirikina wakati sio hivyo na tatizo watu hawapendi kusoma ili waelewe mambo.
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu Freemasonry na wengi wamekaririshwa kuamini kwamba ni mambo ya ushirikina wakati sio hivyo tatizo watu hawapendi kusoma ili waelewe mambo.
Kwann iwe secret society why jamii ya Siri?
Why uruhusiwi kutaja neno Jesus maeneo Yao?
Chochote chenye Siri kina ushetani ndani mwake
 
Back
Top Bottom