Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

Dra Maxie

Senior Member
Dec 9, 2022
143
215
Utasikia tu:

Ndoa ni heshima kwa wazazi
Ndoa ni heshima kwenye jamiii
Ndoa ni heshima kanisani
Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza
Nitaonekanaje mtaani
Nitawaaibisha wazazi wangu

Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo negative kwa wasioolewa huenda wengi wasingejiingiza kwenye ndoa.
 
Sitak sitak



Ndoa ni utapeli

KATAA NDOA. msimamo ni ule ule.... Mwendo chapa ilale.. Aje geto chapa asepe haya maisha hayanaga stress bhna so unaona akNa harmonize wanabadirsha tu huu mfumo huwez kuzeeka mapema lakin hii piKa Pakua mbaya sn
 
Ahimidiwe Mungu atakayenipa mume mwema maana ndio katoka kwake,nikupe somo moja mtoa mada kuhusu ndoa. Watu wanaona nikitu kikubwa hapana nikikubwa kama umemuoa mtu hujamfeel na hajakufeel . Sikia ndoa nimuhimu .

UTAULIZA UMUHIMU WAKE NI UPI?
1. Watoto watapata malezi ya baba na mama. Ndani kutakuwepo matunzo,mafunzo,maelekezo. Ambapo watoto wa nje hawapati usisahau muda na upendo . Vyote hivyo ni ndoa imezaa hayo matunda na usidanganywe sio muhimu. Maana kama umeoa kwa ridhaa yako unamjulia mwenzako hapendi nini naanataka nini kumuhandle ni rahisi.

Ndoa ni lazima kwasababu unaunga undugu na undugu unakua. Unapata challenge mbali mbali ikiwemo ya kiuchumi ,kimaendeleo kiujumla na unakuwa na majukumu ya kifamilia kwa mkeo na watoto. Unaongeza uwewe duniani kihalali. Unapata mawazo chanya kwa mke,ndugu pande zote nawazazi. Kuishi na watu kwa uzuri ni hekima na akili. .

Kuwa single ni umalaya na ukahaba.

Kwasababu unafanya uzinzi. Na unapata mikosi ,mabalaa,pesa zinaenda kwa wanawake tofauti ambao kimalengo huna nao.

Ungeoa akili inacharge akili inakuwa unategemewa so unaitumia kutafuta hela. Za ujenzi, watoto,na mke pia. So kuoa sio heshima tu ni raha Dra Maxie
 
Utasikia tu:

Ndoa ni heshima kwa wazazi
Ndoa ni heshima kwenye jamiii
Ndoa ni heshima kanisani
Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza
Nitaonekanaje mtaani
Nitawaaibisha wazazi wangu

Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo negative kwa wasioolewa huenda wengi wasingejiingiza kwenye ndoa.
Tangu 2000 - 2024 years ni ndoa...ndoa...ndoa...ndoa...yani ni endless season hadi mpasuke
 
Back
Top Bottom