Dalili za mwanamke anayechepuka kwenye mahusiano(Ndoa)

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
1.kubadi ratia yake ya Kila siku ghafla.mafano kama alikuwa anarudi home saa kumi na ukaona anarudi mara saa tatu ya usiku ,mara saa nne.
2.kujibu majibu ya kejeli au matusi Kwa mwanamume wake mfano ;kati ya wanaume na wewe ni mwanamume.
3.Matumizi kuongezeka ghafla,kuwa na income ambayo source yahe haieleweki.
4.kutokuwa na hisia na mume pindi wa tendo la ndoa.
5.kuwa na staili ngeni za kusex,kuonyesha ujuzi mpya.
6.kuwa busy na simu.
7.simu kuwa na password kibao ,ukigusa simu ugomvi mkubwa.
8.kutokujali watoto na familia,utasikia akiwapa maneno mwone akili kama za baba yake.
9.kumnyima mume tendo la ndoa Kwa visingizio tofauti.
10.Kuwa na safari sisizo eleweka mara nilikuwa na mjomba.
11.kubadilika ghafla kwenye mavazi au kujiremba au usafi au hata kuonyesha Tabia njema au mbaya kupitiliza.
10.kutokumjali mume au watoto.
11.kukosa amani na furaha.
12.kukosa shauku na wewe.
 
yeet.jpg
 
Sijamaliza kusoma,macho yamepigwa bumbuwazi penye namba 2,itokee najibiwa hivyo atakula anakopeleka mboga yake. Watoto kwa bibi yao,mimi nitakula restaurant daily,mke atakula huko huko maana mpaka hapo nitakuwa nimemsamehe kipigo cha mbwa koko. Nfyuuu!
 
Back
Top Bottom