Mwanamke akikudanganya nawe ukadanganyika atakudharau na kukuona hamnazo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,893
MWANAMKE AKIKUDANGANYA NAWE UKADANGANYIKA ATAKUDHARAU NA KUKUONA HAMNAZO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Wanawake wanapenda wanaume playboy, badboy, Kwa sababu wanajua kuwa ndio wanaakili. Mwanamke anavutiwa na wanaume wenye Akili sana. Yaani ukishajijua uko na akili(sio hizo za kukariri kufaulu darasani) basi jua wanawake wanaopenda.

Wanaume wanaoendeshwa na mihemko, hasira na wenye visiraní hawako kundi la wanaume wenye Akili. Hilo wanawake wanalijua fika. Na wanaume wenye hasira au wenye visiraní ni rahisi zaidi kuchezewa rafu na Wanawake(wake zao).

Kisaikolojia, Watu wenye mihemko ikiwemo hasira hawawezi kufikiri vizuri na hiyo inawafanya wasiwe kundi la watu wenye Akili nyingi.
Msemo maarufu wa kuishi na mwanamke kwa akili ni kujaribu kueleza kuwa Wanawake wanavutiwa zaidi na akili zako kuliko Mihemko (hisia zako). Kwa sababu wanawake wenyewe wanaendeshwa na Mihemko. Na wao ni emotional entity.

Wanaume wenye akili, playboy,bad boy, matapeli wanajua mchezo wa Mindgame. Kucheza na akili ya mtu, kuisoma na kujua hatua zinazofuata.

Wanaume wenye Mihemko ni rahisi kuingizwa kingi kwa sababu ya visiraní vyao, wivu uliopindukia, hasira za kipuuzi.
Yaani unakuta kisms kwa mkeo unapiga piga kelele kama mjinga.
Utachezwa! Wanawake ni mabingwa wa kucheza na akili ya mwanaume ukiwana Mihemko.

Unajua ukishakuwa unaendeshwa na mihemko unakuwa kama mwanamke mwenzake hivyo wanawake wanaweza au na ni rahisi kukuweza.

Mbinu na njama za wanawake huzitumia zaidi kwa wanaume wenye mihemko. Alafu ukishakuwa na mihemko Mwanamke mmoja anakumudu vizuri sana. Lakini ukitumia akili hata waje wanawake elfu moja watashindwa kukuchezea.

Mwanamke anaweza kuunda tukio bandia la kujifanya anampango wa kuchepuka au anapendwa na wanaume wengine kumbe ni namna ya kukupima uwezo wako wa kihisia na kiakili.

Elewa kuwa wanawake siri zao nyingi zimefichwa kwenye body language zao kuliko Maneno atakayokuambia. Ni rahisi Mwanamke kuigiza kwa mdomo lakini body language yake hawezi kuidhibiti.
Elewa pia machozi kwa mwanamke humaanisha furaha au huzuni.

Kimsingi mwanamke hawezi kudanganya isipokuwa kumdanganya Mwanamke mwenzake yaani mtu anayeongozwa na mihemko.

Elewa kuwa ili Mwanamke akudanganye atahitaji UMUAMINI. Ukishamuamini mtu yeyote ni ngumu kutumia Akili.
Wakati badboy, wahuni, playboy hawatumii kanuni hiyo. Hawaamini mtu yeyote.

Mwanamke yeyote hasa mkeo hatakiwi ajue kuwa unamuamini. Yeye upendo pekee unamtosha.

Wanawake wanatabia ya kusema"inamaana hujiamini?" Huo uhesabu kama mtego.
Akikuambia hivyo mwambie humwambini mtu yeyote yule.

Ingawaje unatakiwa matendo yako yaonyesha kuwa unamuamini ingawaje humuamini ili kumchanganya.

Kwa mfano umejua kabisa mkeo anataka ku-cheat au anawasiliana na mwanaume mwingine. Wewe hupaswi kumuuliza chochote. Wala usimkasirikie zaidi ya kuendelea na shughuli zako.
Kumuuliza mwanamke maswali ya kijinga ni kuonyesha kuwa huna majibu ya yale unayouliza. Na unatengeneza mazingira ya kudanganywa na kumfanya aone unamuamini.

Unachopaswa kufanya ni kumkumbusha ile sheria ya kuwa kamwe hutoweza kuishi na mwanamke Malaya na msaliti. Kwa hiyo yeye kama atakuwa anampango wa ku-cheat basi akumbuke hilo na pia awe makini kwa sababu siku utakayojua ndio siku mtakayotengana pasipo kikao wala mjadala.
Mkumbushe kuwa wewe ni mtu wa aina gani linapokuja swala la Wasaliti na ni rahisi kujua Watu wasaliti.
Mwambie kuwa unataarifa zake chache lakini kwa sasa hazina umuhimu unasubiri afike pale anapotaka kufika.

Mwambie hutomzuia mtu yeyote kutumia uhuru wake kwa namna ya kujificha ila siku ukijua majibu yanafahamika.

Mambo haya unayasema ukiwa unajua mwenendo wake japo unajua bado hajafika mwisho.

Elewa kuwa Mwanamke aki-cheat na usijue anaona kama yupo na mwanaume mjinga asiyeweza ku-detect hatari zozote ziwe za kimwili kihisia,kiakili na kiroho.

Mwanamke huogopa sana wanaume ambao kila anapojaribu kutaka kufanya uovu fulani, mwanaume anakuwa anampa notification kuwa kuwa kama anajua kinachoendelea lakini kwa lugha za kiintelijensia.

Sasa mwanamke anachati na mwanaume mwingine, huyo mpaka analala naye, mpaka mimba inaingia, hujui. Wanakubambikia hujui. Unalea mtoto asiye wako, hujui. Kwa nini asikudharau?
Embu jiulize hata wewe, kwa nini usidharauliwe? Embu tupe sababu! Kimsingi hata mimi labda imetokea hivyo nitastahili kudharauliana.

Alafu ulivyojidharau, unaambiwa huyu mtoto sio wako, ati unamng'ang'ania. Hivi huo kama sio upoyoyo ni nini? Kubali umepigwa! Kubali hiyo vita umepoteza. Kama unamuda jipange upya.

Wewe mpaka unaruhusu mamluki kuingizwa kwenye serikali yako huoni kama unatatizo kubwa?

Na mpaka Mwanamke anakubambikia mtoto jua amekudanganya mambo mengi madogo madogo sasa akaona wewe ni mwanaume usiye na akili na huwezi ku-cheat degect jambo kama hilo kwa haraka.

Mwanamke hata kama amebeba mimba lazima ajue kabisa yule mwanaume sio mtu wa kukubali mambo kirahisi rahisi.

Ukiwa mtu wa kudanganywa, sio ajabu mkeo akaungana mpaka na Mama yako mzazi kukuchezea shere nawe upoupo kama Zina.
Trust no one! Hiyo ni kanuni muhimu katika ulimwengu huu wa uongouongo.

Ati Mwanamke mmoja anabebesha wanaume wanne mtoto au mtoto mmoja makadi manne ya Clinic na watu wanahudumia. Huo ni ujinga.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mwanaume akiwa gentleman huwa wanadharaulika sana..

Mwanamke anapenda upendo wa misukosuko yaani ajue kabisa hapa nukizingua jamaa anamuda na Mimi.
 
☑️
 
Back
Top Bottom