Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira.

Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na pia mwanaume hupata maumivu kiaina.

Sasa kwa hawa ambao kila wakitolewa ubikira utakua unawarudia mbona kama itakua shida kwa hao wanaume.

Kwanini dini ing'ang'anie ngono kihivi, maana kawaida hili tendo huwa tu kwa ajili ye kuwezesha viumbe vizaliane, na ndio maana huwa inabidi pawe na kale kautamu ambako huhamasisha viumbe tufanye tendo, la sivyo hatungekua tunazaliana, ila sasa baada ya kufa, hilo tendo halina umuhimu tena maana ni utamu tu wa kimwili na kwa vile mwili wako umezikwa, hauna umuhimu wa hicho kitu.

Mambo kama haya husababisha mapagani wachekelee na kuona kama ujuha uliokubuhu....
 
Hakuna raha yoyote sema ni ile sifa ya kujiona special sana kwenye maisha ya mwanamke kwa kua mwanaume wake wa kwanza ku penetrate mwili wake.

Mimi binafsi mwanamke bikra simtaki kwa sababu kwa siku za mwanzo hua ni usumbufu na mateso makali sana. Wako very very defensive, yaani bikra sitaki kabisa.
 
Tendo la ndoa ni starehe. Ni burudani kama burudani zingine. Na kwa wengine linawapa addiction kabisa.

Neno bikra, kilugha ya Kiarabu lina maana zaidi ya moja. Bikra sio tu asiyeingiliwa. Bikra kilugha lina maana pia ambaye hajazaa, kigori, ni kasichana ama mwanamwari. Neno bikra kwa waarabu hutumika hata kwa wanyama. Mnyama ambaye bado hazaa pia huitwa bikra.......(sio kupandwa, elewa kuzaa).

Turudi kwenye mada, kwa wanaume, kupata mwanamke ambaye hajaguswa na wenzio ni zawadi. We unajisikiaje kama mkeo ndio umemuanza wewe mwenyewe? Pengine huna feeling kwa sababu hujawahi kumtoa msichana bikra yake. Inawezekana mimi na wewe kwetu bikra sio ishu, kwa mwingine bikra ni ishu kubwa na ana ithamini sana. Sasa sioni ubaya mtu kuambiwa atapata anachokitaka.

Mimi nimeelezea tu maana ya bikra na mafungamano yake na wanaume.

Mambo mengine hayanihusu.
 
Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira.

Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na pia mwanaume hupata maumivu kiaina.

Sasa kwa hawa ambao kila wakitolewa ubikira utakua unawarudia mbona kama itakua shida kwa hao wanaume.

Kwanini dini ing'ang'anie ngono kihivi, maana kawaida hili tendo huwa tu kwa ajili ye kuwezesha viumbe vizaliane, na ndio maana huwa inabidi pawe na kale kautamu ambako huhamasisha viumbe tufanye tendo, la sivyo hatungekua tunazaliana, ila sasa baada ya kufa, hilo tendo halina umuhimu tena maana ni utamu tu wa kimwili na kwa vile mwili wako umezikwa, hauna umuhimu wa hicho kitu.

Mambo kama haya husababisha mapagani wachekelee na kuona kama ujuha uliokubuhu....
Utamu wa K bikra ni fix tupu, mbona mdundo ni ule ule wa kufika kileleni kwa Me? na laiti kama ingeendelea kudumu hadi uzeeni au kifo hapo sawa, cha ajabu ukishaitoa mara 1 tu basi huenda isiwepo tena hata ikakupelepweta Me.

K mnato zipo Wakuu tena zinazofinyia uume kwa ndani, safi, zina joto na hazina kisamaki.

K mnato nazipa 100% ni bora kuliko K bikra.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tendo la ndoa ni starehe. Ni burudani kama burudani zingine. Na kwa wengine linawapa addiction kabisa.

Neno bikra, kilugha ya Kiarabu lina maana zaidi ya moja. Bikra sio tu asiyeingiliwa. Bikra kilugha lina maana pia ambaye hajazaa, kigori, ni kasichana ama mwanamwari. Neno bikra kwa waarabu hutumika hata kwa wanyama. Mnyama ambaye bado hazaa pia huitwa bikra.......(sio kupandwa, elewa kuzaa).

Turudi kwenye mada, kwa wanaume, kupata mwanamke ambaye hajaguswa na wenzio ni zawadi. We unajisikiaje kama mkeo ndio umemuanza wewe mwenyewe? Pengine huna feeling kwa sababu hujawahi kumtoa msichana bikra yake. Inawezekana mimi na wewe kwetu bikra sio ishu, kwa mwingine bikra ni ishu kubwa na ana ithamini sana. Sasa sioni ubaya mtu kuambiwa atapata anachokitaka.

Mimi nimeelezea tu maana ya bikra na mafungamano yake na wanaume.

Mambo mengine hayanihusu.

Soma tena mada yangu unielewe, kumla bikra kunakupa raha kwamba wewe ndiye wa kwanza, hata hivyo huwa usumbufu sana tena maumivu hata kwa mwanaume, sasa wale wa kule sijui watakua majini au viumbe gani hivyo ukiwatoa ubikiwa inakubidi uanze upya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom