Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,628
4,373
Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu...
Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja???
Mbaya zaidi ukute msichana hana kipato au anakipato cha kuunga unga halafu anatolewa out anafakamia mapombe.....ajue tu ataishia kutumiwa na kuachwa!!!

Kama Kijana alikuwa na nia ya kukuoa akakutoa out ukafakamia mapombe/mawine utaona anaanza kukukwepa kwepa kwenda out na mwishowe anakupiga chini..... mara nyingi mwanamme anaye toka na mwanamke mlevi ujue huyo sio muoaji na kama ni muoaji basi ni yule aliyejikatia tamaa hivyo anaokota chochote!

Wanaume walioserious kuoa wakati mwingine mkiwa out hunywa pombe ili kukupima kama na wewe utakunywa lakini pia utakunywa kiasi gani; utashangaa anakuambia ongeza, kumbe anakuchora.....
MARA NYINGI WANAUME HUPENDA WANAWAKE WALEVI KWA AJILI YA MICHEPUKO.......LAKINI SIO KUOA!
Nimewapa marking scheme mshindwe wenyewe kufaulu paper!!!
 
Nimeshayakoroga hadi hapa😔😔😔jana niliagiza Kilimanjaro kubwa sita, na nikawa nakunywa na “kifutio” alichoagiza yeye.
Basi tena ndoa 👋 bye
We kunywa jiachie usisikilize hizi thread za JF ukiona mtu anaaanza kupangia watu maisha wajibane bane ujue hana maisha na ni mvivu wa kutafuta. Na Mwanaume mwenye akili anachagua mwanamke anaendana nae. Binadamu tumeumbwa tofauti.
 
We kunywa jiachie usisikilize hizi thread za JF ukiona mtu anaaanza kupangia watu maisha wajibane bane ujue hana maisha na ni mvivu wa kutafuta. Na Mwanaume mwenye akili anachagua mwanamke anaendana nae. Binadamu tumeumbwa tofauti.
Namna hiyo😍😍
 
Back
Top Bottom