mwanamke

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ukiwa na mwanamke kwenye siasa akiwa na cheo kikubwa huwezi kumshauri

    Sijawa na jibu sahihi kwa swali langu, je hawa wanawake hakuna hata mmoja mwenye mume ambaye alimshauri na kumkataza kwenda kuwa viti maalum kuwa atakuwa ameona madhara yake, sasa mkewe kafukuzwa uanachama na ubunge hatogombea tena, mwanaume anamuambia nn mkewe au anamshaurije kwa sasa
  2. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

    Namnukuu: "Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali" My...
  4. Sputnik_1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nikishalala na mwanamke napoteza mzuka naye

    Habari zenu. Mie ni kijana wa kiume. Kama nilivyoandika ktk kichwa cha habari, ni kwamba nikimtongoza mwanamke akakubali, na kuwa mpenzi wangi, nikifanya nae ngono mara moja au mbili au tatu baada ya hapo nakua sina hamu nae kabisa. Naanza tafuta mpya nae nikifanya nae hivyo hivyo. Na saa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha. Source Tanzania Daima My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema Maendeleo hayana vyama!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Saikolojia inatuambia nini juu ya misimamo ya mwanamke

    Saikolojia inatuambia kwamba; Maamuzi sahihi ya mwanamke huwa yapo ndani ya dakika 90 tu za mwanzo! Ikipita dakika 90 katika jambo moja lilelile tarajia maamuzi hasi kutoka kwake kuwa ndiyo maamuzi sahihi. Na maamuzi hayo hasi yaliyo inje ya dakika tisini ndiyo huwa adhimio la ubongo wa...
  7. fungi06

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

    Nazani mtaniunga mkono kwa maana;- Kuna mwaka fulani nikiwa bado KCMC nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi. Kuna mwanamke mmoja (jina kapuni) nilifanikiwaga kumfanyia operation baada ya kushindwa kuzaa normal basi akazinduka...
  8. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Jinsi Mwanamke Jini Alivyonipenda na Kunipeleka Ujinini!

    NAITWA Omar Ibrahim Msangi. Nilikuwa ndiyo kwanza nitimize umri wa miaka thelathini. Masomo niliyochukua yalikuwa ni ufundi wa kompyuta na nilikuwa nimeajiriwa na kampuni binafsi iliyokuwa ikishughulika na uuzaji wa aina zote za kompyuta na utengenezaji. Mimi nilikuwa upande wa ufundi na...
  9. fungi06

    JamiiForums Tanzania Kama hukuzaliwa mwanaume au mwanamke ungependa uzaliwe kiumbe gani?

    Habari, Tuende kwenye mada jumla jumla. Binafsi kwakua nimechoka kuona unyanyasaji unao endelea bayana ya binadamu us if kuna binadamu wachache wanao tuona sisi kama wanyama (yani wanatutawala kama vile wanavyo tawala vikuku vyao bandani) Kulingana na wasomi wakwanza tokea duniani ikiwamo...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanamke ananuka miguu au soksi

    Huu ndio ukweli wangu toka nizaliwe sijawahi kuonamwanamke ananuka miguu au soksi je nikwasababu wanawake ni wasafi? Au ni kwasababu hawavai Soksi mostly ni open shoes?
  11. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Najisikia poa kuona mwanamke kavaa boxer kama nguo ya ndani

    Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi, Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye alikua anavaa boxer tu, huwezi mkuta kavaa kyupi, siku ya Kwanza kuonana nae alikua kavaa pensi, afu...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

    Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza. Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

    Mambo zenu wakuu? Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji. Mtanishukuru baadae.
  14. GLOBAL CITIZEN

    JamiiForums Tanzania Pesa bhana, kama Mwanamke Mzuri vile (Pisi Kali) usipompa attention anakukimbia

    Kwanza kabisa napenda kuwasalimu Jf family. Ni tumaini langu u buheri wa afya. Kama sivyo nakuombea upate afya njema ili uendelee na kazi zako zakusaka noti. Leo nataka nikuonyeshe jambo kuhusu pesa na pengine itakusaidia kubadili fikra zako vile unavyoiwazia pesa. Kwa wanaosoma nyuzi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nashangaa sijamsikia Lissu, Magufuli wala Lipumba 'wakilisemea' hili ila huyu Mwanamke 'amelisemea' vyema mno

    "Lakini TFF lazima niifute kwanza, ninawaomba Watanzania mnipe ridhaa yenu nikaifute TFF ndio inayotuletea migogoro, hizi timu zetu zisingekuwa na migogoro, mara migogoro na wawekezaji mara migogoro na wachezaji lakini chanzo ni wao".Cecilia Mmanga. ITV Tanzania Japo Rais wa TFF Wallace Karia...
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga ni Mwanamke chuma anajielewa na ni mpinzani wa kweli ila ADC ni koti chakavu

    Huyu mama nimepata bahati ya kusikiliza Sera zake nikaona ni mtu makini na mwenye future katika siasa za Tanzania ila tatizo chama anachotoka cha ADC ya Hamad rashid kimekaaa kiunafiki unafiki. Tofauti na viongozi wake wa huko visiwani ambapo adui yao mkubwa ni maalimu lakini mama Queen yeye...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

    Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
  18. safuher

    JamiiForums Tanzania Usisubiri mzazi akuombe ndio umpe, sio busara

    Wakuu kuwasaidia wazazi wetu tusisubiri simu ya haloo baba tunashida huku,alafu wewe ndo unatuma alfu kumi,sio busara. Ukipata chochote tuma japo 10% ya ulichopata sio mpaka wakuombe,nao watu wale wanaonaga jau kuomba kila mara. Usisubiri upate laki ndo utume alfu 30, wewe umepata kidogo tuma...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  20. yuda75

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
Back
Top Bottom