Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

Sasa wewe mwanaume kweli, unaanzishaje mada ya kupondea wanaume wenzako, unadhan hao wanawake wote utawamaliza mwenyewe?

Mimi ninachofahamu pombe na umalaya huwa vinaenda sambamba, ni walevi hao hao ambao wanabena mabaamedi kila siku!
 
kunywa pombe siyo vibaya, kuamua kuwa mlevi hiyo ndo mbaya kabisa kwahiyo siyo kila anaekunywa pombe anatabia ulizo nazo wewe
 
Back
Top Bottom