Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo.
Watafiti wa masuala ya mahusiano...
Habari wadau.
Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
Amekuzimia? Anakupenda Kweli? Nini Kina Ashiria?. Kumuelewa mwanamke kama amedata na wewe inahitaji ujanja mwingi. Zifuatazo ni dalili 13 akikuonyesha mwanamke, kuna uwezekano mkubwa amekuzimia kimahaba. Ukiziona dalili hizi kwa mwanamke unaempenda, usisite kumuweka wazi kile unacho jisikia...
★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote.
★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu.
★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako.
★4. Kuoana kabla...
Halima Cisse mwanamke mwenye miaka 25 nchini Mali ameripotiwa kujifungua watoto tisa watano wakiwa wa kike na wanne wakiume.
Wizara ya Afya imesema Halima alitarajiwa kupata watoto saba ambapo alilazimika kupelekwa Morocco kwa kuwa Mali ni nvhi yenye huduma duni za afya.
Kitabu cha rekodi ya...
Girls! You run this World right? Run it with your Brain!
Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee, sasa kwanini jamaa acheat??
Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao...
Habari za muda huu wana JF!
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo.
Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa?
Kimaadili imekaaje hii?
Msaada tafadhali.
Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.
Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .
Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;
Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
Anapata kigugumizi kukutambulisha...
Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali ambayo sio ya kawaida.
Halima Cisse, 25, alijifungua watoto wa kike watano na wavulana wanne katika hospitali ya Morocco siku ya Jumanne ambako alikuwa amelazwa, Waziri wa Mali Fanta Siby alisema katika taarifa. Alijifungua kupitia...
Bill gates alikuwa anampenda mwanamke ambayo hakuweza kumuoa ila Melinda alimruhusu Bill gates, kuwa na huyu mwanamke every weekend mambo ya camila na Diana .Jina lake Ann Winblad
Mwili wa mwanaume una misuli mingi kupita wa mwanaume. Misuli hii inampa nguvu za ziada katika kuilinda familia. Mkiona nyoka ndani ya nyumba hutashangaa kusikia muiteni baba, ni mara chache kwenye familia yenye wazazi wawili kusikia kuna nyoka huku muiteni mama. Baba akishamuua nyoka Ego...
Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa.
Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea!
Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
KWA ALIYE SERIOUS 100%
A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine tutaelezana
NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.
Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake...
Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo.
Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Si haba, akina mama wanazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.