mwanamke

  1. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

    Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel. Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni...
  2. zagarinojo

    JamiiForums Tanzania Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

    Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa. Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano. Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi...
  3. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania

    Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36' Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. . Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

    Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa...
  5. Akili 09 Nguvu 01

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

    Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu. Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa Mchepuko wangu rasmi na wa kudumu. *Awe na miaka kuanzia 20 -40. *Awe na uwezo wa kujitegemea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ya Mwenyekiti wa CCM Tarime kumuita mgombea mwanamke ni malaya, na ukimya wa Chama changu

    Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime kutumia lugha isiyo ya staha jukwaani kwa kumuita mgombea wa CHADEMA "mwanamke malaya" ni cha kidhalilishaji na hakipaswi kunyamaziwa pasipo kukemea. Tupo katika mchakato wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu na Tume imekuwa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  8. safuher

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kukupenda kweli kwa pesa zako, sio dhambi, pesa kweli inanunua mapenzi

    Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana. Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100% Kwanini? 😁😁😁 Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame ateua mwanamke kuongoza Idara ya Intelejensia

    Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo. Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza. Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ruth Zaipuna: Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa juu kwenye benki Tanzania

    Mwenyekiti wa bodi ya NMB Bank, Dkt. Edwin Mhede, amemteua Ruth Zaipuna kuwa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB kuanzia leo, Agosti 18. Ruth anakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa katika taasisi za kibenki nchini. Awali Ruth aliikaimu nafasi ya Ukurugenzi Mkuu tangu Oktoba 2019. Ruth ana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

    Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Inaruhusiwa kusali baada ya ngono kwa wasio na ndoa?

    Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua. Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mapenzi halisi toka kwa mwanamke

    Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa! na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache. Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuomba pesa siku ya kwanza ya kukutana kwenu jua hakupendi

    Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina shida ya sh fulani na mwanaume na akili timamu unatuma unajua anajuchukuliaje JIBU : ANAKUONA BOYA...
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

    habari za muda huu wakuu? naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe. ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Je ni halali kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?

    Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili: Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia ya kike mbele yake hata siku 1. Hii imenikuta last week,nilisemwa sana japo sikuwa na nia mbaya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuchukua room lodge/guest house kwa ajili ya mgegedo alafu mwanamke hakutokeza tujuane tupeane uzoefu ulifanyaje baada ya hapo

    Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi. 1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi classic nikalipa 25, nikarudi hostel nikawa na msubiria, sa 12 imefika hajafika bado but anasema nakuja...
Back
Top Bottom