Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake.
Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
Tuwe waaminifu, tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi.
Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote nyama ni ileile sio kweli..nyama ni tofauti.
Nakumbuka Sophia alinionya nisimtongoze mate...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule.
Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani)
Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu...
Wapwa,
Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.
Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia
Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa...
Ni hivi wanaume wengi tunafikiri mwanamke akikubali kuolewa na wewe ndio anakupenda koo sio rahisi kukucheat kitu ambacho si kweli.
Ukweli mchungu ni kua wanawake wengi wanakubali kuolewa na wewe ili tu apate heshima kwene jamii inayomzunguka ila anakua hana hisia na wewe ata robo wengi wao...
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..
Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
Oya niadje wanangu
Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje
Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo...
Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela ila yeye ndiye atakupa wewe. Atafanya kila awezavyo akutafutie vizawadi ili ujue anakupenda. Atatumia gharama zake mwenyewe.
Mwanamke anayekupenda anakutaka wewe tu kama ulivyo anakuhitaji tu wewe. uwepo wako kwake unatosha, hahitaji pesa yako...
Kwangu mimi Halima Mdee Mdee naweza kusema ndiye mwanamama jembe na shupavu asiyeogopa na hata hachoshi kumsikiliza. Ni moja ya wanawake shupavu sana nchini na msaada mkubwa sana katika bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huyu Mwanamama ni msomi mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana...
Leo nina zawadi mbili (Moja ni hii na ya pili itafata) kutoka kiumeni kwenda kwa wake zetu vipenzi, kwenda kwa dada zetu, kwenda kwa mama zetu kwenda kwa walezi wetu wa kike. Leo nawasemea Wanawake kwa ujumla wao. Hakika hali wa shani Mwanamke hawezi kuvumilia kuishi na mwanaume anaye mnyanyasa...
Ni katika kongamano la Mtandao wa Jinsia lililozungumzia nafasi ya mwanamke katika uchaguzi mkuu.
Mgeni rasmi alikuwa RC Kunenge na lilihudhuriwa pia na wajumbe wa kamati ya amani mkoa wa DSM na wagombea akiwemo Halima Mdee anayegombea Kawe.
Shehe wa mkoa wa DSM alhad Musa Salum amesema nafasi...
Habari za usiku huu watoto, vijana na wavyele pia.
Sitaki kuelezea hadhi na jinsia ya Mwanamke, bali natafuta ithibati na uhakika wa kauli hii: "Kila Mke ni Mwanamke lakini si kila Mwanamke ni Mke"
Wanandoa wote karibuni sana, bila shaka kauli hii mnaweza kuipa haki yake katika maana sahihi...
Ni chibonge hivi ila mzuri. Leo nilimkaribisha apike tule, tunywe baadaye tufanye. Sasa wakati anapika mi nilikuwa sebuleni nimetulia Niko nalipensi langu la kupungia upepo huku nikiwa kifua wazi.. nikaona isiwe tabu nikamfata hukohuko jikoni ili tuzungumze kidogo n.k
Nilikuwa na glass ya...
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel.
Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni...
Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa.
Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano.
Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi...
Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36'
Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. .
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.