Kama hukuzaliwa mwanaume au mwanamke ungependa uzaliwe kiumbe gani?

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Habari,

Tuende kwenye mada jumla jumla.

Binafsi kwakua nimechoka kuona unyanyasaji unao endelea bayana ya binadamu us if kuna binadamu wachache wanao tuona sisi kama wanyama (yani wanatutawala kama vile wanavyo tawala vikuku vyao bandani)

Kulingana na wasomi wakwanza tokea duniani ikiwamo akina plato ambao walisema binadamu wako katika aina kuu 3:

1. Gold (bright people)
2. Silver (watawala)
3. Iron (police. Wanajeshi.nk)

Apaa kila mtu anatakiwa ajiangalie mno kwa kujua yeye yupo wapi kama auko 1 au 2 au 3 basi awa ni wafu kulingana na plato yani non living

Sasa kumbe kuna watunga sheria. Kuna wanao chambua sheria na kuna wanao hakikisha sheria inafwatwa.

Nature always win.

Yani hata porini simba sio mkubwa sana kuliko tembo au tiger bali anaitwa mfalme wa pori ni kwa nini?

Kwa sababu ya attitudes ya Simba.

Basi kama mimi ningepewa chance yakuchagua nizaliwe kiumbe gani duniani mbali na mwanadau basi better be simba maana its my level.

Maana i depend some in other like muuza duka yani nafungua duka nauza goods for other.

Siwezi kua fisi au silver ili kula kile kilicho kibudu maana nina taya ngumu kumumunya mifupa

Au iron kulazimisha watu kula vibudu

Basi its better to be simba maana nitaishi kulingana na ninavyo taka

And please kama aupendi wanyama dont give a damn shit about them.
 
Blobfish
images (7).jpeg
images (5).jpeg
 
Yule ambae akitekenywa anakua mnene ama ?
 
Naomba nimkosoe huyo Plato... Sasa Kama yapo matabaka matatu sie ambao hatupo ktk hayo matabaka tupo ktk tabaka la gani? Au stones(diamonds, tanzanite)?

Naomba ufafanuzi..
 
Naomba nimkosoe huyo Plato... Sasa Kama yapo matabaka matatu sie ambao hatupo ktk hayo matabaka tupo ktk tabaka la gani? Au stones(diamonds, tanzanite)?
Naomba ufafanuzi..
Lazima uwepo apo kinamna yoyote ata kama auna cheo serikalini basi kwenye familia kama nako auna basi wewe ni iron lazima utakua unaitwa mno kwenye matukio ya ugomvi ugomvi
 
Ni wazo lakini.......

Ukishindwa kujitambua wewe ni nani dunia itakupa maana tofauti na wewe ulivyo.

Nilijiona mpumbavu lakini kumbe kuna kitu kikubwa ambacho ukikitumia kitasaidia na kuokoa maisha ya wengi na kila mtu anacho hicho kitu

Kujilinganisha na mnyama ni kuidhalilisha thamani yako
 
Back
Top Bottom