mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  2. NEGAN

    JamiiForums Tanzania Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Kwa kulinganishwa na...
  4. Geofrey P Buchard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia waislamu wote heri ya mwaka mpya

  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  7. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania TEC na Jumuiya ya Kikristu daini mapumziko siku ya mwaka mpya wa Kikristu

    Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko. Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?! Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
  8. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujenga Madarasa Mapya kila mwaka sio suluhisho kwenye Elimu ya Secondary

    Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza...
  12. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Mwaka kogwa imembeba nini kwa mizania ya kiroho?

    Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii. Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi, Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko ili nimuombe anipe picha kamili huwa ikoje, aliniambia, 1. Kabla ya siku ya kwanza ya mwaka kogwa...
  13. Nukes

    JamiiForums Tanzania Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    🇨🇳 China: $57 trillion 🇮🇳 India: $52.5 trillion 🇺🇸 United States: $51.5 trillion 🇮🇩 Indonesia: $13.7 trillion 🇳🇬 Nigeria: $13.1 trillion 🇵🇰 Pakistan: $12.3 trillion 🇪🇬 Egypt: $10.4 trillion 🇧🇷 Brazil: $8.7 trillion 🇩🇪 Germany: $8.1 trillion 🇲🇽 Mexico: $7.6 trillion 🇬🇧 UK: $7.6 trillion 🇯🇵 Japan...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

    Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na...
  16. Zee la Masonko

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  17. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

    Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa" Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa na Watu 9,649,925 mwaka 1964 kabla ya Muungano

    Wakati Tanzania Bara na Zanzibar zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia. Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
Back
Top Bottom