THTU: Serikali imetuthibitishia kuwa nyongeza ya mshahara ipo kama ilivyoahidiwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,457
Badala ya July sasa ni August 😂

C18A6B45-7DFD-4014-9EE9-08E3037D9320.jpeg


===
TAARIFA MUHIMU​

Mshikamano!

THTU inapenda kuwajulisha Wanachama na Wafanyakazi Wote kwamba viongozi wamefuatilia suala la nyongeza ya mshahara ulioahidiwa na Mh. Rais wakati wa sherehe za Mei mosi 2023.

Ofisi Ya Rais Utumishi imetuthibitishia kwa uhakika kwamba nyongeza hiyo ipo PALE PALE kama ilivyoahidiwa na italipwa kuanzia mwezi wa 8 mwaka huu 2023.

Hivyo basi tunawaomba Wanachama na Wafanyakazi wate tuendelee na majukumu yetu wakati tunasubiri utekelezaji.
 
Jana meona taarifa ya habari wachuuzi wa bidhaa mbali mbali za ujenzi wakilalamika, ujazo wa bidha husika kupungua ama material yalotengeneza bidhaa husika kupunguzwa hivyo kuathiri ubora wa bidhaa
 
Back
Top Bottom