Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

Kama unapata changamoto katika kutuma maombi ya mkopo njoo nikusaidie kukamilisha popote ulipo Tanzania
Maombi_ya_mkopo_elimu_ya_juu_bodi_ya_mkopo_HESLB.jpg
20230706_073511.jpg
 
Huu mfumo bodi ya mikopo kwa mala ya kwanza wamepigwa, ni mqjanga matupu na hauleweki .Wauzime wajipange upya
 
Ile sehemu ya kuapload page ya 2 na 5 inasumbua kinoma haikuletei sehemu ya kuconfirm....maana rangi si inabidi iwe ya kijani
 
Back
Top Bottom