Mbunge wa Scotland apoteza ubunge baada ya kuvunja masharti ya kuzuia maamukizi ya Covid-19 mwaka 2020

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,046
Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa.

Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test.

Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata alisafiri kwenda London kwa train ambayo ilikuwa na abiria 183

Alirudi glasow akihofia kutengwa kwenye hotel Londo kwa wiki mbili kama ilivyokuwa utaratibu wa wakwa isolate covid patients
Alikamatwa na kus
hitakiwa kwa kuhatarisha maisha ya watu kizembe. Alipewa adhajumuiya kama adhabu

Kwanini nimeleta kisa hiki? UWAJIBIKAJI. Sakata la bandari ilibidi akina Mbarawa, majaliwa, Feleshi na wengine hata na Rais LABDA wawajibike kwa kujiuzulu lkn bado wame meza pin kama vile hakuna baya walilolifanya.
 
Back
Top Bottom