mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

    Years African Countries Started Using Electricity⚡ South Africa 🇿🇦 - 1860 Kenya 🇰🇪 - 1875 Egypt 🇪🇬 - 1893 Nigeria 🇳🇬 - 1896 Zimbabwe 🇿🇼 - 1897 Ethiopia 🇪🇹 - 1898 Mauritius 🇲🇺 - 1899 Tunisia 🇹🇳 - 1902 Zambia 🇿🇲 - 1906 Uganda 🇺🇬 - 1906 Tanzania 🇹🇿 - 1908 Morocco 🇲🇦 - 1914 Ghana 🇬🇭 -...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna mwaka siku tarehe na siku kama ya leo nilizaliwa mimi. Unajua ni mwaka gani?

    Hebu tujaribu udadisi huu kidogo. Mimi nilizaaliwa miaka kadhaa iliyopita leo nimegundua siku na tarehe zimejirudia ila mwaka na mwezi ni tofauti; je, ndugu zangu mnajua nimezaliwa mwaka gani namwezi upi?
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Toleo la GTA6 kusogezwa mbele hadi mwaka 2026

    Kama wewe ni Mpenzi wa kucheza GTA na umekuwa ukiisubiria kwa hamu GTAVI ningependa kukwambia kuwa huenda muda wa kutolewa GTA6 ukasogezwa mbele hadi mwaka 2026. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali sababu inayotajwa kupelekea GTA6 kusogezwa mbele ni matatizo ya Production. ✍️Mjanja M1
  4. technically

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM zote hakuna kitu. Uchaguzi wa mwaka huu 2024 na 2025 watu watachagua nini?

    Niseme tu ukweli toka amefariki Rais Magufuli nchi imepoa kisiasa hakuna hoja kabisa. Chadema chini ya Mbowe chama kimejifia kabisa. Hakuna sera wala mikakati ya kuwasaidia Watanzania nao wengi wao mamegeuka kama mafisadi ya nchi hii. Wamewekeza kwenye biashara wanavuna Mbowe anaomba misamaha...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

    Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kila mwaka tunaazimisha siku ya madaraka ya Rais. Je, hiki ni kipaumbele kipya?

    Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake. Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa zinazoandaliwa zipo kwenye bajeti ya serikali au kuna wafadhili wenye moyo mwema wanaochangia gharama za...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano 20th July, 2024 Mike tyson akarudi Ulingoni kupambana na Jake Paul

    Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa. Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi? Cc: Maghayo
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Historia ya Y2K na Msisimko wa Mwisho wa Dunia wa Mwaka 2000

    Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu angerudi kwa mara ya pili. Dunia nzima ilikuwa na wasiwasi, kila mmoja aliona kabisa alikuwa akienda...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wangu wa 16 kufunga mwezi wa Ramadhani China

    Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, serikali nyingi zisizo za Magharibi zilianza kuamka na kujua kwamba demokrasia na haki za binadamu za dhana zilizotetewa na nchi za Magharibi zinalenga kuzipendelea nchi hizo tu na kupuuza maslahi ya mataifa mengine mengi ya Kusini, na kwamba dhana hizi...
  12. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikufanya uchaguzi wa viongozi mwaka 2023?

    Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika? Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

    Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Album(Nyimbo) Ujio Wa Papa Yohane wa II, Ziara kitume Nchini Tanzania Mwaka 1990

    Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  16. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Taa aina ya bulb inayowaka tangu mwaka 1901

    Taa aina ya bulb iliyopo katika state ya California imeendelea kuwaka tangu mwaka 1901 mpaka leo hii 2024, ilitengenezwa na Adolphe Chaillet muanzilishi wa kampuni ya Shelby Electric iliyoanzishwa mwaka 1890. Kwa kifupi ni haijawahi kuzimwa, inashikilia rekodi za Guiness kama taa iliyosalia...
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China watarajiwa kukua kwa asilimia 5 mwaka huu

    Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika, na suala la kiuchumi linafuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Katika ripoti ya kazi ya serikali iliyowasilishwa tarehe 5 kwenye mkutano wa Bunge la Umma, China iliweka lengo la ukuaji wa...
  20. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson kuzichapa na Jake Paul July 20 mwaka huu

    Mike Tyson vs Jake Paul officially announced as date set biggest event in boxing history. Jake Paul rose to combat sports fame when he knocked out former NBA player Nate Robinson on the undercard of Mike Tyson's exhibition boxing match with Roy Jones Jr. in 2020. Now, Paul, the...
Back
Top Bottom