Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,690
Years African Countries Started Using Electricityโšก

South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - 1860

Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - 1875

Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - 1893

Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ - 1896

Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ - 1897

Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น - 1898

Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ - 1899

Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ - 1902

Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ - 1906

Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ - 1906

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - 1908

Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - 1914

Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ - 1914

Togo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ - 1926

Africa facts zone
 
Ni kwamba, kipindi hicho ambacho Tanzania ilianza kutumia umeme ilikuwa inatawaliwa na Wajerumani.

Mapinduzi ya viwanda yalitokea tangu karne ya 17 huko Ulaya hivyo mambo kama umeme yalikuwa ni kitu cha kawaida kwa wazungu!

Pia, baadhi ya Wazungu walipohamia Afrika katika karne ya 18 wengine waliamua kuyafanya makoloni kama makazi ya kudumu hivyo walianza kuweka miundombinu na teknolojia mbalimbali kwa ajili ya kurahisisha maisha yao.

Baada ya wazungu kuondoka Afrika, nchi nyingi za Kiafrika zilishindwa na zinaendelea kushindwa kuendeleza vile vitu walivyoacha Wazungu.

Zipi ni sababu za nchi za Kiafrija kushindwa kuendeleza mazuri yaliyoachwa na Wazungu mimi na wewe ndio tuulizane, mana kwa sasa bongo kama unavyooan tuna watu kama kina Mwijaku, Doto Magari, na yule binti wa Aslay sijui Lilian wanatrend mtandaoni na Watanzania wanapenda kuwafuatilia, lakini mambo sirias hayafuatiliwi.
 
Years African Countries Started Using Electricityโšก

South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - 1860

Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - 1875

Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - 1893

Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ - 1896

Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ - 1897

Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น - 1898

Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ - 1899

Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ - 1902

Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ - 1906

Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ - 1906

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - 1908

Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - 1914

Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ - 1914

Togo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ - 1926

Africa facts zone
TATIZO MONOPOLIZATION
 
Wakati huo miji yote ya Mashariki ya Afrika ilikuwa ni Zanzibar.

Usisahau hilo.
 
Years African Countries Started Using Electricityโšก

South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - 1860

Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - 1875

Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - 1893

Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ - 1896

Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ - 1897

Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น - 1898

Mauritius ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ - 1899

Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ - 1902

Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ - 1906

Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ - 1906

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - 1908

Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - 1914

Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ - 1914

Togo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ - 1926

Africa facts zone
Ilikuaje morocco kachelewa sana?
 
Afrika mashariki inaanzia Eritrea mpaka Tanzania,Ina nchi takribani 10,
Ila jumuiya ya Afrika Mashariki ina nchi 5.

-So jinga wewe,he,Djibouti, Mogadishu,Nairobi,Adis Ababa,,Aksan na Kampala zilikuwa Zanzibar au unaropoka tu hapa ?
Sikuandika "Afrika Mashariki", nimeandika "mashariki ya Afrika".

Hata mnachokisoma hamuelewi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sikuandika "Afrika Mashariki", nimeandika "mashariki ya Afrika".

Hata mnachokisoma hamuelewi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sasa Jinga wewe hata ukisema Mashariki mwa Afrika ,unafkiri unaongelea nchi zipi,au Nairobi na Kampala zopo Magharibi mwa Afrika...
Yan vilaza utawajua....mwalim anaelekeza wewe ulikuwa domokaya Darasani.

Hebu Google ujionee
 
U
Mashariki mwa Africa hpo s inamaansha kwamba mashariki mwa Bara la Africa ambako Sasa n Ulaya su Europe, si ndo hvo wajuba
Mkuu,Ulaya ipo Kaskazini....

Mashariki mwa Afrika ni tungo tata...
-ukanda wa mashariki wa bara la Afrika
au
- Eneo lililopo nje ya bara la Afrika lakini ni Mashariki.
Ndiyo maana nikaomba afafanue,sasa yeye anakuja kebehi na dharau wakati hata Jiografia na Historia hajui.
 
Kama tuko serious umeme wa jua utatuondolea tatizo la umaskini na tutamaliza hii migawo ya Kila siku, teknoloji ipo na bei imeshuka sana, tuondoe Kodi zote kwenye umeme wa jua na vifaa vyake vyote na ikibidi serikali itoe ruzuku Kwa wanaofunga solar au kuanzisha uzalishaji katika sekta ya umeme wa jua, hili tunaweza kuamua wenyewe, hatuhitaji wageni kutusaidia au fedha za kigeni, Tanzania Kuna jua kuliko mahitaji na wazungu wanajua Hilo ndio maana wako kimya hawatuambii chochote, kingine magari ya umeme nayo Kodi ifutwe au ipunguzwe sana, itasaidia kupunguza gharama za kuagiza mafuta machafu yanayotugharimu billions, nusu ya import $$$ yote Kwa mwaka ni mafuta, imagine tutasave kiasi gani Kwa kupunguza uagizaji wa mafuta
 
Mpaka sasa,umeme wa maporomoko ya maji,ndiyo umeme cheap kuliko wote.

SOLAR
1.Eneo kubwa
-Eneo kubwa lahitajika kwa ajili ya panel
-Elfu ya eka

2.Teknolojia
-kipindi cha mvua,itakuwaje
-Teknolohia ya mabetri makubwa ya kuhifadhi chaji,bado.ipo nyuma sana.
3.Umeme wake ni wa msimu na masaa kadhaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom