technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Niseme tu ukweli toka amefariki Rais Magufuli nchi imepoa kisiasa hakuna hoja kabisa.
Chadema chini ya Mbowe chama kimejifia kabisa. Hakuna sera wala mikakati ya kuwasaidia Watanzania nao wengi wao mamegeuka kama mafisadi ya nchi hii.
Wamewekeza kwenye biashara wanavuna Mbowe anaomba misamaha ya kodi kwa Rais kama ilivyo kwa mafisadi yote ya CCM Shame!!
Viongozi wengi wa upinzani sasa wanakula bia na watu waliosababisha makovu kwa wafuasi wao mwaka 2015-2021.
Mawaziri wa Rais Samia wanashindana kuchota pesa za Umma na kutakatisha kwa kufanya uwekezaji uchwara ambao hauna ajirà zenye tija kwa jamii tofauti na uko nyuma kipindi cha Kikwete mtu akijenga shule amejenga shule kweli na walimu watakuwa private lakini watalipwa kweli kweli
Zichunguze biashara za shule za sasa, angalia sheli za Leo angalia makapuni ya kubeti ya sasa mishahara wanayolipa wafanyakazi yaani Mtu was degree analipwa 150000.
Bahati mbaya mpaka wapinzani wameingia kwenye mtego wa CCM wa kusulubu wafanyakazi was sector binafsi refer kesi ya waandishi wa magazeti ya Mbowe.
Viwanda ndiyo basi kabisa wachina wanatesa wazawa watu wanakatwa vidole na machine viwandani kwa mshahara wa elfu 7 kwa siku.
Wahitimu hawana pa kusemea wapo wapo tu kwa sababu hata wanaotakiwa kuwasemea na wao wameungana na majizi wenzao ccm na chadema wamekuwa kama mtu na mdogo wake hakuna sehemu ya kujitetea.
Jiulize kijana anayeishi Chanika anafanya kazi kariakoo kila siku halafu analipwa elfu 7 nauli ya chanika kariakoo kwenda na kurudi no 3200 anabaki na 3800 chakula 3000 anabaki na 800 atawezaje kulipa kodi? Kununua maji na kulipa bili za umeme?
Taifa linaangamia sasa uchaguzi wa 2025 nani ana Sera ?
Bora utawala wa Magufuli tulijua misimamo yake akisema hapa ni hivi ndio hivyo hivyo!!
Jamani sioni Sera kwenye uchaguzi wa 2025 sio Samia wala Mbowe, Ccm imeoza na Chadema imejifia kabisa hakuna anayewatetea watanzania.
Kama ni uchaguzi bora ccm ibadilishe mgombea maana wakienda hawa kutakuwa hakuna option.
Rais Samia amechoka ila upinzani umechoka zaidi sio Mbowe sio Zitto wote wamekuwa matapeli tu ni muda wao sasa kusitaafu siasa.!!