Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia mwingine badaa ya kutumia uchawi wa paka mweusi na kuwekwa katika list ya teams zenye jezi...
Habari wadau,
Sijuhi ni macho yangu tu au hata wengine mnaona kama ninavyoona mimi.
Wale tuliozaliwa miaka ya 80' kushuka chini ni mashuhuda kwamba zamani ikishafika miezi ya mwisho wa wa November kwenda December kulikuwa na mishe mishe mingi mitaani hata station za radio zilikuwa zikigonga...
Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
Mzuka wanajamvi.
Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠
Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani...
Nimetafakari.
Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter.
Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo...
Nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari karibia vyoote (vya Redio na TV) hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kugundua kuwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vimepoteza weredi wa kutoa matangazo yenye tija na ubora kwa jamii tofauti na ilivyokuwa hapo siku za nyuma. Nimejaribu kufuatilia nyanja...
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli.
Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda...
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana...
Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra.
2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko.
1. Mtiga Abdala...
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni chama ana watia nia wenyewe?.
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu...
NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020.
Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM kuwa kuna mambo yamefanywa na CCM, japo kwa kubeza. Hii inadhihirisha ile kauli ya mmbunge Mmoja...
Chama chochote cha siasa huwa na agenda yake ambayo huwa ndio roho ya chama
Chadema kipindi cha Dk Slaa kilikuwa na agenda tena nzito ambayo ilikubalika na ilitikisa ndani na nje ikipigiwa makofi ndani ya nchi na nje ya nchi.La kujifunza kwa Dk Slaa ni kuwa Dk Slaa hakutetea maslahi binafsi...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.