Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi

Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.

Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post angalau nipate faraja kwamba umenisoma.

Wako akupendae;

Superbug
 
Akimaliza kipindi atakuja kukujibu
Mkuu Kama kweli Kuna mtu anamfahamu amuambie basi aisee Yani dah I feel Kama ananidai hivi Yani hata Kama hajawahi kunikopesha chochote.
 
viumbe wote katika uso wa dunia ni wazurii, "beauty in the eye of the beholder" changamoto huwa inaanza pale unapolinganisha viumbe hivyo

Mfano
1) baby kabae VS Umwiza Phiona
2) baby kabae VS Mange
3)
 
Usi
viumbe wote katika uso wa dunia ni wazurii, "beauty in the eye of the beholder" changamoto huwa inaanza pale unapolinganisha viumbe hivyo

Mfano
1) baby kabae VS Umwiza Phiona
2) baby kabae VS Mange - aka dada wa taifa
3)
Usimlinganishe baby na hivyo vitu ulivyovitaja
 
Baby nakuangalia kwenye kipindi naomba ukiuona huu uzi unionyeshe kaishara flan hivi aidha ka vidole au macho nitajua umenielewa nakuangalia hizo nyimbo zikiisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom