njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia mwingine badaa ya kutumia uchawi wa paka mweusi na kuwekwa katika list ya teams zenye jezi zinazovutia.
Hadi sasa haiujulikani ni malalamiko ya aina gani yatakayofuatia kutokana na hali hii iliyojitokeza
Hadi sasa haiujulikani ni malalamiko ya aina gani yatakayofuatia kutokana na hali hii iliyojitokeza