mvuto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV na "Hekaya za Abunuasi" wapoteza mvuto kwa watazamaji kwa kwa kujiingiza katika "siasa"

    Nilikuwa natazama taarifa ya habari ya Azam saa mbili za usiku huu na katika habari za leo kuna habari mbili zilizopelekea mimi kuandika makala hii fupi ambayo ntaawachieni nyie kama wasomaji mfanye tathimini yenu. Habari ya kwanza (a) kampuni ya Azam kupitia Mkurugenzi wake (mmiliki) ametoa...
  2. Mshiiri

    JamiiForums Tanzania GE2010 Precedent ya 2015 haifai 2020? Siasa hazina mvuto?

    Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo 1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na hivyo kutokuwa na mvuto kwenye siasa. Hii imeathiri sana kuona ushabiki na undakindaki dhidi ya siasa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pumzi imekata, ACT hakiaminiki, vyama vingine havina mvuto. Kwa hali hii watashindana vipi na CCM wakashinda?

    Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria. Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
  4. Teargass

    JamiiForums Tanzania CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

    Mbunge CCM asema wahudumu wa ATCL hawana mvuto kwa wateja THURSDAY NOVEMBER 7 2019 Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania (CCM) Husna Mwilima Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania (CCM) Husna Mwilima amesema wahudumu wa ndege wanaoajiriwa na Shirika la Ndege Nchini (ATCL) hawana...
  5. Sigonella Island

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
  6. Mstarabu kiona

    JamiiForums Tanzania TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

    Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

    "Sio mimi niliyezuia bunge Live, haukua uamuzi wangu. Bunge lenyewe liliunda kanuni za kuendesha matangazo yake. Lakini ukweli ni kuwa hatukutenda haki na watu wanalalamika sana. Kuhusu watu kutizama TV na kushindwa kufanya kazi hiyo hoja niliitoa mimi lakini ni kwa sababu za kisiasa tu. Ilikua...
  8. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto

    Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
Back
Top Bottom