mvuto

  1. KJ07

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Sina mengi ya kuandika zaidi ya hayo.
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

    App ya WhatsApp GB ina raha yake. Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana. Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu. Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kunyanduana ukiandaliwa na mwanamke una mvuto na vibes zaidi na kukonga nyoyo kuliko kumbe zetu sisi mabaharia

    Amani ya Mungu iwe nanyi. Ebana kuna kamanzi/kadada kammoja kameibuka huku mitandaoni anaelekeza namna ya kunyandua ndizi na apple ni mkali balaa, ana vionio kama vyote wenye video ya visa mafunzo vya ndizi na apple atupashe madesa, simbi na vizenga tafadhari. Ni hayo kwa uchache tu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

    Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

    Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Farhan Jr kauliza kwanini elimu ya sasa imepungua mvuto? Majibu aliyo pewa, wanaosomesha English Mediums hawatayafurahia👇

    Bwana mdogo Farhan Jr kupitia ukurasa wake wa instagram alianza kwa kuuliza swali kama ifuatavyo 👇
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa unadhoofishwa kimkakati ulikuwa unaheshimika ila kadiri unavyoambatana nao na kucheza mziki wao unapoteza mvuto, stuka

    Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao watu wakubwa na heshima zenu mnaanza...
  10. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa. Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023 Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂 Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie" Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi? NB...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watu wenye mvuto na uwezo mkubwa wa akili

    Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya. Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika. Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

    Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

    Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii. Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

    Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini. Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa. Haji...
  15. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search mnakosa mvuto

    Habarini za Muda Huu Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini? Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Huu Ushindi wa Dr Tulia Ackson umekosa mvuto baada ya kuona Somalia, Malawi na Senegal ndio washindani wake. Je IPU ni bunge la Kusini mwa Sahara?

    Ama kweli wazungu wana dharau sana. Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia. Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea. Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

    Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake. Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Kwema Wakuu! Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba). Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya twitter kuitwa X, imepoteza mvuto

    Toka Ellon Musk abadilishe mtandao wa twitter na kuuita X umepoteza mvuto kabisa. Hapo mwanzo niliipenda sana twitter ila sasa acha niachane nayo. Muda mwingi notifications za twitter zinakuja nakuta icons 'X' zimekuwa nyingi kwenye notifications bar. Mwanzo tulikuwa tunakuta icon ya...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?

    Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
Back
Top Bottom