Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

Mama Edina

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
748
1,816
App ya WhatsApp GB ina raha yake.
Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana.

Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu.

Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na hakifutiki.

Ilikuwa inakupa uwanja kuamua group gani hakina umuhim kwako kwa muda huo unaliweka pembeni yaani unalitenga kwa muda hadi pale utakapotaka kulitumia.

GBwhatsapp ilikuwa ina theme tele. Unaamua muonekano wa app yako wkt wa kuitumia uwekeje.

Kwa ufupi ikuwa inavitu vingi. Nimeoatwa na masikitikito kwa kuwa ilikuwa inakupa nafasi kujitenga na baadh ya contacts ukawa na wachache ukawa free na faraghani.

Baada ya kutakiwa kuwa katika official nimejiona kama vile nataka niachane na WhatsApp. Nahisi imefikia mwisho
 
Mbona hata hii ya kawaida unaweza ku-mute group kwa muda? Pengine wengine mna ule ugonjwa wa kujisikia furaha mnapofanya jambo bila kufuata utaratibu? Kwa mfano kuna mtu najisikia furaha na kujiona ni mjanja anapokwenda Kariakoo na kununua kitu uchochoroni kimagendo hata kama bei ni kama ya dukani.
 
Achana nayo tu kama haikuridhishi.

Unafikiri utawakomoa WhatsApp?
 
Mbona hata hii ya kawaida unaweza ku-mute group kwa muda? Pengine wengine mna ule ugonjwa wa kujisikia furaha mnapofanya jambo bila kufuata utaratibu? Kwa mfano kuna mtu najisikia furaha na kujiona ni mjanja anapokwenda Kariakoo na kununua kitu uchochoroni kimagendo hata kama bei ni kama ya dukani.
Thread ifungwe sasa, Jibu hili hapa limepatikana...

Nimefurahi sana kuona GBWhatsapp imekula ban.

Kwanza GB WhatsApp ilikuwa ni ya hovyo sana.
. Ilikuwa haina backup
 
Me natumia hii..siyo officiall whatsup ila ina features zote za Gb whasup na the likes .. na nki fungua playstote ina onesha nme instal officiall whatsup
 
Attachments

  • Screenshot_20240324_132108_One UI Home.jpg
    Screenshot_20240324_132108_One UI Home.jpg
    121.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom